Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Kweli mi mwenyewe najiuliza hii kitu utakuta mtu mmoja kwenye costa anasindikizwa escort au Gx una kuta inapewa escort?? maving'ora yamezidi aisee
 
Kuna jamaa hapa kigamboni wanakula sana bia, sasa wakitaka kuhama baa wana gari zao wanawasha king'ora mbele mtadhani ni watu kweli, kumbe walevi wanahama baa.
Gharama ikoje?
 
Kodi v8 kama tatu.

Ziwashe dim tu..... hata ukikutana na igp hakusimamishi.

Ushuhuda...

Wakati Wa mwenda zake tulipewa gari tatu kuzipeleka katoro kutoka mwanza.... v8 feki za wachimbaji.

Tulipofika tu feli tukafunguliwa geti kuelekezwa kusogeza mbele kwa ajiri ya kuwa Wa kwanza kuingia.

Tumetoka kivukona kwa spidi Kali huku tukitanua kibabe road....

Hadi tunaenda kupaki hatukuona trafiki akijishugulisha na sisi.
 
Kuna jamaa hapa kigamboni wanakula sana bia, sasa wakitaka kuhama baa wana gari zao wanawasha king'ora mbele mtadhani ni watu kweli, kumbe walevi wanahama baa.
[emoji1787][emoji1787]
 
Kiitifaki hairuhusiwi mtu wa kawaida kuwa na msafara(escort ya polisi) ila inaruhusiwa mtu wa kawaida kuomba ulinzi kutoka jeshi la polisi na IGP akitoa idhini utapewa ulinzi ila kwa sharti la kugharamia kila hitaji la askari utakaopewa(gharama zote juu yako), pia ifahamike kwamba huo ulinzi utakaopewa si wakudumu.
 
So
Kiitifaki hairuhusiwi mtu wa kawaida kuwa na msafara(escort ya polisi) ila inaruhusiwa mtu wa kawaida kuomba ulinzi kutoka jeshi la polisi na IGP akitoa idhini utapewa ulinzi ila kwa sharti la kugharamia kila hitaji la askari utakaopewa(gharama zote juu yako),pia ifahamike kwamba huo ulinzi utakaopewa si wakudumu.
Hakuna fixed amount?
 
Habari wakuu.
Ningependa kufahamishwa gharama za kukodi msafara mdogo tu wa traffic police wenye pikipiki moja mbele, ningependa kujua utaratibu mzima na gharama.
Sijui kama watakujibu. Niliwahi kutumwa na kamati ya harusi ya jamaa yangu kukodi mapikipiki yale ya kusindikiza msafara wa Rais kusindikiza harusi ya kijana wetu. Kilichotokea walinicheka wakasema hayo sio ya harusi.
Lakini sikutoka kapa. Nilipata dili la harusi yetu kupitishwa haraka haraka bila kuathiriwa na foleni.
 
Sijui kama watakujibu. Niliwahi kutumwa na kamati ya harusi ya jamaa yangu kukodi mapikipiki yale ya kusindikiza msafara wa rais kusindikiza harusi ya kijana wetu. Kilichotokea walinicheka wakasema hayo sio ya harusi.
Lakini sikutoka kapa. Nilipata dili la harusi yetu kupitishwa haraka haraka bila kuathiriwa na foleni.
Vipi escort ya gari?
 
Yaani hizo escort za ving'ora na vimulimuli ni reserved kwa vigogo wa dola kwa hapa tz. Sijui kama ukiwa na mapesa yako unaweza kujiundia msafara na vimulimuli binafsi😂
Shukrani Mkuu.
 
Kuna jamaa hapa Kigamboni wanakula sana bia, sasa wakitaka kuhama baa wana gari zao wanawasha king'ora mbele mtadhani ni watu kweli, kumbe walevi wanahama baa.
Ha ha h...[emoji4]
 
Back
Top Bottom