Habari wakuu.
Ningependa kufahamishwa gharama za kukodi msafara mdogo tu wa traffic police wenye pikipiki moja mbele, ningependa kujua utaratibu nzima na gharama.
Uwe na pesa tu ya kuwajazia mafuta ma-POTI
Na buku teni teni za kazi utasindikizwa kwani kisheria ni haki yako na unatakiwa upewe bure...
Misafara binafsi ni ipi???
Unautambuaje kuwa huu ni binafsi????
Escort hapa umeitumia kwa mapana na marefu yapi????
Tuanzie hapo kwanza
Ninaposema misafara binafsi ni ile misafara ya magari ambayo sio ya kiserikali,I mean magari binafsi kusindikizwa na gari la polisi na pikipiki kwa ving'ora ku clear barabara
Nadhan hapo umenipata
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwahiyo budget ya buku 50 kila siku jion wanaweza wakawa wananipeleka home kukwepa folen?
Hapo nachukua watatu,nawapa 30,afu 20 ya wese
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort!
Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort?
Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mzee Mwinyi pia anatembelea gari binafsi,nifafanulie anahitaji Road Clearance?
Kuna siku nimeona gx100 na
coaster zimepewa escort,kuna siku nimeona vx yenye private number
inapewa escort,na leo nimeona benz private number imepewa escort
Habari ya mwinyi hiyo siijui
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ninaposema misafara binafsi ni ile misafara ya magari ambayo sio ya kiserikali,I mean magari binafsi kusindikizwa na gari la polisi na pikipiki kwa ving'ora ku clear barabara
Nadhan hapo umenipata
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
jamaa yang mmoja yupo kampuni ya ulinzi katka moja ya hotel maarufu dsm, aliniambia kuwa hizo escort binafsi zinalipiwa laki moja kwa kila escort ya polisi.
jamaa yang mmoja yupo kampuni ya ulinzi katka moja ya hotel maarufu dsm, aliniambia kuwa hizo escort binafsi zinalipiwa laki moja kwa kila escort ya polisi.