Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?

Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Wachezaji bora hawawezi kucheza ligi yetu. Au kwa maana nyingine timu zetu hazina uwezo kusajili wachezaji wazuri kushindana na timu kama Mamelodi, Aly Hilaly, Raja, Wydad nk
 
Back
Top Bottom