Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

Ile timu sasa iv haina viongozi ina watu ambayo sijui wana malengo gani na simba kuna muda unaweza kuwaza elimu yao na uwezo wao wa kuongoza taasisi ni kiwango gani kuna mambo wanayafanya ata hakina mzee dalali pamoja na kukosa elimu hawawezi kuyafanya ,,timu ina shida ya wachezaji badala ya kuongeza bajet katika usajili ikiwa na pamoja na kuangalia namna gani kuna baadhi ya wachezaji kuwavunjia mikataba wao ili kupisha wengine wao wanatoa pesa kwenda kutalii ,najiulza walikua na sababu gani kumleta kocha mpya uku ligi inaenda mzunguko wa pili , angalia sasa iv wana lundo la makocha ambayo kimsingi kaz yao moja iv gharama ya makocha ambao hawana la ziada si unamlpa mchezaji wa maana ,ni bora ukawa ata na wachezaji 25 ambao unawaona viwango vyao vinasaidia timu kuliko kuwa na lundo la wachezaji ambao wengine inapita ata miezi 2 hawajacheza na siku wakicheza hawana jipya ,simba wana kazi kubwa ya kufanya warudi katika ubora kuanzia uongozi mpaka ndani ya uwanja ,,, kwa sasa mpaka idara ya digatal sasa iv imeanza kuyumba ,mchezaji hakiwa na kiwango duni camp ata iwe wap ni kupga mark time tu , waache kujizungusha wafanye reform ya timu
Wewe kwa comment hii ndiyo wajiona una uwezo mkubwa sana kiasi kwamba waweza kuhoji uwezo wa akili wa Viongozi wa Simba?
 
Wewe kwa comment hii ndiyo wajiona una uwezo mkubwa sana kiasi kwamba waweza kuhoji uwezo wa akili wa Viongozi wa Simba?
Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ndio kwamba una akir ama maarifa kuwazid wengine ,na ndio maana kuna viongozi na bado wana washauri ,wasaidizi na vinginevyo ,mbal mbali sina maana mm nina nina maarifa au akil kuliko wao ,, lakin kwa iz iz akil zangu najua ili baya ama zuri au apa ni sahihi au vinginevyo ,mfano suhala la kambi wakat unajua shida ipo wapi kujiongezea mizigo tu ,wafanye usajili wa maana alafu wakae pale pale bunju na matokeo yataonekana
 
Ukiambiwa thibitisha utaweza??? Acheni umbea watoto was kiume tafuta fedha.

Kwahiyo mamlaka za Dubai ni dhaifu sana kwenye ufuatiliaji madawa ya kulevya??

Swali langu umewahi safiri hats kwenda Malawi tu????
Wewe mtoto Mdogo huna unalolijiwa, Nina Canadian viza ya miaka 10 mult, Shenghen countries naenda kama sokoni tu.

Simba hawajaanza hiyo michezo leo, marehemu Juma Salum na Kassimu Dewji uongozi wao walikuwa watu wa Mipango.

Na Ninakuthibitisha Marco Masanja alikuwa Katibu msaidizi wa Kassimu Dewji amekamatwa na unga China mainland na possibly itakuwa amenyongwa.

Sasa waulize Watoto Ilala baada ya Juma Salum kupata ajali ya gari akitokea bungeni Dodoma ni nini kilichompa utajiri wa ghafla mtoto wake Abuu?

Jinga wewe, siku nyingine usirudie kumkisia mtu usiyemjuwa, jumatano nakwenda Stockholm kusalimia familia.
 
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?

Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Akili za kimasikini hizo
 
Hela zako? Umewahai kutoa hata shillings 100?
 
Akili za kimasikini hizo
Wewe popoma huoni timu yetu ya Simba imejaza wachezaji wengi wabovu? Kina Kibu D, kyombo, Mzamiru, okwa, kapama, Gadiel, Ouwatara, akpan, Nyoni Hawa ni wa kufukuza
 
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?

Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Usajili ni process sio kama unavyofikiri wewe tu... Sio unasajili tu kukusanya michezaji bila mipango, afu isitoshe hili ni dirisha dogo yaani wachezaji wote waliopo Simba wanamikataba na timu tena wengine mirefu sasa uwavunjie unaowaona wabovu kwa mkupuo ni ngumu sana, na hao wanaohitajika pia wanamikataba na timu zao tena huenda mirefu tu, sasa kufanya biashara kama hii katikati mwa msimu ni Risk kubwa sana. Otherwise ni kufanya marekebisho madogo madogo ya kumalizia msimu ko si ajabu kuona Simba inasaji wachezaji wakiwa free agent na maisha mengine lazima yaendelee...
 
Mishahara inatusumbua, hao wachezaji bora pesa ya kuwalipa mishahara tutao wapi?

Safari ya Dubai ni ufadhili kutoka kwa tajiri mmoja labda tumwombe .......
 
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?

Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Kama inauma chomoa usije ukapasua pur....u

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Simba si aliweka Kambi mwezi mzima Egypt na akacheza mechi za kirafiki na kina Ismailia na zamalek?? Halafu alipokuja mechi ya kwanza tu ya mashindani akapigwa goli 2 na Yanga akabeba kombe??
Watu kama nyie wenye akili mgando ndio wanasababisha Simba inazidi kuzorota siku baada ya siku. Mada kama hii Ulitakiwa kuisapoti na kuuamsha uongozi uliolala kuwekeza zaidi kwenye kusajili wachezaji bora
Wewe ni mpumbavu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni kilaza sana na nadhani usiwe unani quote maana kichwani uko empty sana.
Hujui unasimamia nini na Kila mara Unajicontradict mwenyewe, Umesema Simba haikuweka Kambi misri ili ije ishindane na Yanga makombe ya ndani ikiwemo iyo ngao ya jamii, ililenga kimataifa zaidi, saiv tena unasema ili ishiriki kimataifa inaitaji makombe ya ndani...

Nimefunga mjadala na wewe, na ukini quote Tena ntaamini maneno ya ndugu Aden Rage kuwa wanasimba wote ni mbumbumbu ukiwemo na ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Simba walipata kombe msimu uliopita? Mbona wapi ligi ya mabingwa hatua ya makundi halafu waliopata kombe wapi shirikisho kombe la maluza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom