Ile timu sasa iv haina viongozi ina watu ambayo sijui wana malengo gani na simba kuna muda unaweza kuwaza elimu yao na uwezo wao wa kuongoza taasisi ni kiwango gani kuna mambo wanayafanya ata hakina mzee dalali pamoja na kukosa elimu hawawezi kuyafanya ,,timu ina shida ya wachezaji badala ya kuongeza bajet katika usajili ikiwa na pamoja na kuangalia namna gani kuna baadhi ya wachezaji kuwavunjia mikataba wao ili kupisha wengine wao wanatoa pesa kwenda kutalii ,najiulza walikua na sababu gani kumleta kocha mpya uku ligi inaenda mzunguko wa pili , angalia sasa iv wana lundo la makocha ambayo kimsingi kaz yao moja iv gharama ya makocha ambao hawana la ziada si unamlpa mchezaji wa maana ,ni bora ukawa ata na wachezaji 25 ambao unawaona viwango vyao vinasaidia timu kuliko kuwa na lundo la wachezaji ambao wengine inapita ata miezi 2 hawajacheza na siku wakicheza hawana jipya ,simba wana kazi kubwa ya kufanya warudi katika ubora kuanzia uongozi mpaka ndani ya uwanja ,,, kwa sasa mpaka idara ya digatal sasa iv imeanza kuyumba ,mchezaji hakiwa na kiwango duni camp ata iwe wap ni kupga mark time tu , waache kujizungusha wafanye reform ya timu