utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
- Thread starter
- #21
Hivi Simba si aliweka Kambi mwezi mzima Egypt na akacheza mechi za kirafiki na kina Ismailia na zamalek?? Halafu alipokuja mechi ya kwanza tu ya mashindani akapigwa goli 2 na Yanga akabeba kombe??Kupanga ni kuchagua. Nyie sajilini kisha wekeni ksmbi avic town, kirafiki chezeni na friends rangers
Watu kama nyie wenye akili mgando ndio wanasababisha Simba inazidi kuzorota siku baada ya siku. Mada kama hii Ulitakiwa kuisapoti na kuuamsha uongozi uliolala kuwekeza zaidi kwenye kusajili wachezaji bora