mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Sijakosea hesabu bali type error.hapo kwenye pair namanisha roll.Makadirio yako ni mazuri ila hapo kwenye wire za 1.5mm kuna namna umekosea hesabu 6pair za single maana yake ni roller 12. Ila pia kama unmaanisha set ni(R,B,G) ambayo ni roller 3 kila set ambayo jumla ni roller 18.
Means 12×50,000=600,000
Au 18×50,000=??
Pia bei ya jumla ya master cable roller ya 1.5mm kwa Kkoo ni 40k kwa roller.
*2.5 mm roll 3
*1.5mm roll 6