Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Circuit breaker unanunua ya kazi gani wakati inakuwa ipo combined kwenye main switch za siku hizi kama zile za Tronic?
Hizo bomba 70 zote za nini ikiwa kila bomba moja inakuwa na Futi 10 na kila moja inauzwa 1,500 au unafanya wiring kwenye godown?
Kwa kifupi kama fundi wako alikutajia idadi hiyo ya vifaa amekupiga pakubwa sana, au kama wewe ni fundi basi nawaonea huruma sana wanaofanya kazi na wewe.
Nimefanya wiring recently nanimejifunza mengi kupitia tabia za mafundi kuongeza masifuri. Vifaa vingi vilibaki ina maana nisingekuwa site ningepigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali
Sio fundi wewe wala ujui chochote kuhusu ufundi.ni bora kama kitu ujui ukae tu kimya kuliko kuongea ili mtu ajue umeongea.

Sio Tronic, havels wala ABB ukinukua wakuwekee circuit breaker.bali unakuta wamekuwekea sehemu ya kukaa circuit breaker.kwa iyo wewe unatakiwa kununua alafu uiweke ndani ya main.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bomba 70 mbona ni mdogo sana kwenye wiring.kwenye nyumba za kisasa unatumia zaidi ya bomba 120 na ukifanya ring circuit unanunua hata bomba 150.
 
Ni kweli sio fundi, ila kwenye umeme hunidanganyi kitu mzee. Hata mimi fundi aliniambia niinunue hiyo circuit breaker ila mind you nilimdaka akiwa anataka kuiweka kwenye bag lake akauze mbele ya safari.
Main switch za Tronic za sasa hivi hauna haja ya kununua hicho kifaa kwakuwa tayari ipo ndani yake. Kama ulimruhusu fundi akafanya hivyo Mzee kubali tu umeshapigwa za Mbavu.
Kama hiyo nyumba yake haitakuwa na mambo mengi bomba 20-25 ni kiwango cha kutosha kabisha labda akitaka mbwembwe ndiyo zinaweza kufika 30 ila kwa idadi ya 70 Mkuu labda kama ni wiring ya Kanisa au Godown.
 
Circuit breaker unanunua ya kazi gani wakati inakuwa ipo combined kwenye main switch za siku hizi kama zile za Tronic?
Hizo bomba 70 zote za nini ikiwa kila bomba moja inakuwa na Futi 10 na kila moja inauzwa 1,500 au unafanya wiring kwenye godown?
Kwa kifupi kama fundi wako alikutajia idadi hiyo ya vifaa amekupiga pakubwa sana, au kama wewe ni fundi basi nawaonea huruma sana wanaofanya kazi na wewe.
Nimefanya wiring recently nanimejifunza mengi kupitia tabia za mafundi kuongeza masifuri. Vifaa vingi vilibaki ina maana nisingekuwa site ningepigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali
Alafu unatakiwa kujua maisha yanatofautiana.kuna watu wamejenga nyumba na kuna watu wamejenga sehemu ya kupunguza usingizi.nyuma tu ina mita zaidi ya 25.wakati wewe kiwanja chako tu kina mita 20 kwa 20 na nyumba ina mita 13 kwa 13 alafu utegemee gharama iwe sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Izo bomba 70 unazosema unakuta hata nusu ya kazi ujafikia.

Wewe sitting room na dinning room kuna taa moja moja wakati mwenzako siting room ma dinning kuna taa zaidi ya 20.alafu gharama uje kutegemea kuwa sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa fundi tumekuelewa najua ndiyo njia yenu ya kuwapiga wateja wenu. Fundi mkweli atabaki kuwa kinyozi pekee ila nyie wengine mkiachwa hatua moja tu ushampiga mtu tobo.
 
Ni kweli sio fundi, ila kwenye umeme hunidanganyi kitu mzee. Hata mimi fundi aliniambia niinunue hiyo circuit breaker ila mind you nilimdaka akiwa anataka kuiweka kwenye bag lake akauze mbele ya safari.
Main switch za Tronic za sasa hivi hauna haja ya kununua hicho kifaa kwakuwa tayari ipo ndani yake. Kama ulimruhusu fundi akafanya hivyo Mzee kubali tu umeshapigwa za Mbavu.
Kama hiyo nyumba yake haitakuwa na mambo mengi bomba 20-25 ni kiwango cha kutosha kabisha labda akitaka mbwembwe ndiyo zinaweza kufika 30 ila kwa idadi ya 70 Mkuu labda kama ni wiring ya Kanisa au Godown.
Bro mbona ni jambo jepesi tu uliza wauza vitu vya umeme wakupe muongozo kuliko kubishana tu bure.main zikiwa mpya izo hapo kama unavyoona.
images%20(22).jpg
images%20(23).jpg
images%20(21).jpg
 
Sawa fundi tumekuelewa najua ndiyo njia yenu ya kuwapiga wateja wenu. Fundi mkweli atabaki kuwa kinyozi pekee ila nyie wengine mkiachwa hatua moja tu ushampiga mtu tobo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna kama umuamini fundi ni vizuri ukanunue mwenyewe vitu.tena ukiona fundi kakuandikia bomba 100 basi we nunua kwanza 50.akimaliza basi kanunue zingine ili kukwepa fundi kukuibia au kukutia hasara.

Iyo tabia ni kweli ipo.kuna jamaa mmoja alipata kazi ya hotel basi bosi alinunulishwa contena nzima ya waya.ila kwenye matumizi hata nusu contena haikufika.mafundi tu waliokuwa wanamsaidia kazi walikuwa kila siku wanatoka na bunda 3 kila mtu.

Jamaa aliyechukua kazi kila wiki alikuwa anaingiza gari site kwenda kubeba waya kupeleka kariakoo kuziuza.
 
Labda Hiyo Isolator ndiyo anajua ni Circuit breaker.
Labda alikuwa anajua ivyo ila cha ajabu alisema alinunua kabisa na fundi akataka kuondoka nayo ile ya kwenye box.

Inabidi atufafanulie vizuri zaidi au labda alinunua zile za surface(plastic) ambazo sio ya kuchimbia kama za chuma.
 
Kikao kilishafanyika humu na mafundi wote tuwape taarifa ni kwamba wiring ya nyumba ni laki mbili na Elfu hamsini za Jamuhuri ya muungano wa Tanzania pekee,na mafundi ambao hawataki kufanya kazi kwa bajeti hiyo wahamie Burundi
 
Sawa Bwana Mkubwa,
Na vifaa nyumba ya wastani tulikubaliana gharama zisizidi ngapi?
 
Sawa fundi tumekuelewa najua ndiyo njia yenu ya kuwapiga wateja wenu. Fundi mkweli atabaki kuwa kinyozi pekee ila nyie wengine mkiachwa hatua moja tu ushampiga mtu tobo.
Kiongozi mm niko upande wako. Uyo jamaa itakua fundi tu. Ndio maana anakaza shingo hatare unavyo shuhudia kilicho taka kutokea SITE kwako.
Asante kwa muongozo wako huu.
Hapa n macho macho n mafundi wapigaji.
 
Kikao kilishafanyika humu na mafundi wote tuwape taarifa ni kwamba wiring ya nyumba ni laki mbili na Elfu hamsini za Jamuhuri ya muungano wa Tanzania pekee,na mafundi ambao hawataki kufanya kazi kwa bajeti hiyo wahamie Burundi
Yani kweli ujenge nyumba kama hii alafu umfanyishe fundi kazi kwa laki 2 na nusu.[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu kaeni kwenye kikao upya mpange bei nyingine maana iyo sio rafiki kwa fundi.

Hii nyumba kufunga tu taa ilizidi iyo ela unayosema
Screenshot_20230424-134234_Chrome.jpg
 
Sawa Bwana Mkubwa,
Na vifaa nyumba ya wastani tulikubaliana gharama zisizidi ngapi?

Laki mbili na nusu mkuu,gharama za ufundi inategemea sana fundi atavyokuotea na juhudi zako za kulia upunguziwe hauna kitu
 
Yani kweli ujenge nyumba kama hii alafu umfanyishe fundi kazi kwa laki 2 na nusu.[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu kaeni kwenye kikao upya mpange bei nyingine maana iyo sio rafiki kwa fundi.

Hii nyumba kufunga tu taa ilizidi iyo ela unayosemaView attachment 2599999

Tofautisha kati ya gharama za kuwajengea walamba asali na sisi wengine wasoma number gharama ni tofauti sana
 
Kiongozi mm niko upande wako. Uyo jamaa itakua fundi tu. Ndio maana anakaza shingo hatare unavyo shuhudia kilicho taka kutokea SITE kwako.
Asante kwa muongozo wako huu.
Hapa n macho macho n mafundi wapigaji.
Ngoja Tarimofundiumeme aje atusaidie hapa.
 
Situmekubaliana wiring ni laki mbili na nusu tu [emoji276]sasa mamilioni yanakuja Vipi tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juu nimeona laki 8 nashuka naona million 1.5 nashuka naona million 2 nashuka tena nakutana na million 3
 
Kikao kilishafanyika humu na mafundi wote tuwape taarifa ni kwamba wiring ya nyumba ni laki mbili na Elfu hamsini za Jamuhuri ya muungano wa Tanzania pekee,na mafundi ambao hawataki kufanya kazi kwa bajeti hiyo wahamie Burundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom