mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Sio fundi wewe wala ujui chochote kuhusu ufundi.ni bora kama kitu ujui ukae tu kimya kuliko kuongea ili mtu ajue umeongea.Circuit breaker unanunua ya kazi gani wakati inakuwa ipo combined kwenye main switch za siku hizi kama zile za Tronic?
Hizo bomba 70 zote za nini ikiwa kila bomba moja inakuwa na Futi 10 na kila moja inauzwa 1,500 au unafanya wiring kwenye godown?
Kwa kifupi kama fundi wako alikutajia idadi hiyo ya vifaa amekupiga pakubwa sana, au kama wewe ni fundi basi nawaonea huruma sana wanaofanya kazi na wewe.
Nimefanya wiring recently nanimejifunza mengi kupitia tabia za mafundi kuongeza masifuri. Vifaa vingi vilibaki ina maana nisingekuwa site ningepigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali
Sio Tronic, havels wala ABB ukinukua wakuwekee circuit breaker.bali unakuta wamekuwekea sehemu ya kukaa circuit breaker.kwa iyo wewe unatakiwa kununua alafu uiweke ndani ya main.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bomba 70 mbona ni mdogo sana kwenye wiring.kwenye nyumba za kisasa unatumia zaidi ya bomba 120 na ukifanya ring circuit unanunua hata bomba 150.