Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
- Thread starter
- #41
Mkuu,Kwa ufupi plaster chumba kimoja ni kati 50,000-70,000 na rafu 30,000-50,000 kwa ndani.
Sebule, dining na jiko hesabu kama chumba kila kimoja.
Korirido na vyoo inategemea na ukubwa unaweza vichanganya vikawa chumba kimoja.
Pia bei inategemea na eneo na hadhi ya fundi
Nimeongea na mafundi wawili tofauti.
Mmoja ameniambia Sh. 50,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 2,
Mwingine ameniambia Sh. 60,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 4.
Naomba kujuzwa, rough floor/zege standard ni inchi ngapi?