Gharama ya kuweka sakafu ya zege/rough floor

Mkuu,
Nimeongea na mafundi wawili tofauti.

Mmoja ameniambia Sh. 50,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 2,

Mwingine ameniambia Sh. 60,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 4.

Naomba kujuzwa, rough floor/zege standard ni inchi ngapi?
 
Mkuu,
Nimeongea na mafundi wawili tofauti.

Mmoja ameniambia Sh. 50,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 2,

Mwingine ameniambia Sh. 60,000/-, na rough floor/zege standard ni inchi 4.

Naomba kujuzwa, rough floor/zege standard ni inchi ngapi?

Standard thickness ya floor slab ni 4 inches kwa residential house.
 
Standard thickness ya floor slab ni 4 inches kwa residential house.
Wakuu,
Mnanipa mwanga sana katika kuliekea hili zoezi.

Huyu fundi mmoja kaniambia kuwa kabla ya yeye kuweka floor,
Pale ardhini inabidi awaite vijana wa kumwaga maji ya kutosha na kushindilia kwa kifaa kizito,
Ambapo itabidi niwalipe pesa tofauti na hii 60,000/- yake yeye ya ufundi.

Kwa hapo yupo sahihi?
 

Kwa bei no comment! Ila kwa kumwagia maji yupo sahihi, ndio maana huwa napenda kuwashauri watu wakimaliza kujenga boma waweke kifusi ili wakati wanakusanya nguvu kifusi kititie kwa mvua! Usipomwaga maji mengi kuna hatari kifusi baadae kutitia.
 
Mkuu, labda nilikosea kuandika.

Fundi kasema
1) Kuweka rough floor @ 500,000/-,
2) Kupiga plasta @ 900,000/-,

Hivyo kwa kazi hizo mbili, niandae labour charge ya 1,4000,000/-.
Kuweka rough floor ni Tsh 500k - 400k

Plasta ndani tu 800 - 600

Mapema na haraka....unapatikana wapi?

0789005562
 
Hesabu sio hivyo....hizo kazi za plasta na froor ni Mauzo sio Day worker
 
Mwizi huyo usimpe!

Fundi mstaarabu nipo hapa...

Plasta ya kiwango!

Urembo Wa kisasa

Skimming ya kisasa....

Kwa picha zaidi za plasta na Urembo nicheki kwa namba 0789005562

Au njoo wasap Kwa link hii Wa.me//255789005562
 
Mkuu, labda nilikosea kuandika.

Fundi kasema
1) Kuweka rough floor @ 500,000/-,
2) Kupiga plasta @ 900,000/-,

Hivyo kwa kazi hizo mbili, niandae labour charge ya 1,4000,000/-.
Huyo yupo chini sana, nadhani hana uzoefu na kazi hiyo. Zege inatakiwa 800,000/- na kupiga plasta inatakiwa isiwe pungufu ya 1,250,000/-
 
Yupo sahihi
 
Mkuu, labda nilikosea kuandika.

Fundi kasema
1) Kuweka rough floor @ 500,000/-,
2) Kupiga plasta @ 900,000/-,

Hivyo kwa kazi hizo mbili, niandae labour charge ya 1,4000,000/-.
Bei yake ipo juu mno Mkuu
 
Bei ya plasta iko juu asee anataka alingane na bei ya bidhaa?
 
Chumba kimoja sakafu ya zege bei gani? Kina ukubwa gani? Kama ni nyumba ya vipimo ulivyotoa.. kwa idadi hiyo ya mafundi unahitaji kila fundi awe navibarua 2..na kama wahitaji kaz bora hutaipata kwa laki na thelathini. Tuwe wakweli..
 
Kodi mashine ya zege kisha unaweza walipa mafundi Day
 
Kuweni na utaratibu wa kuwa na Tools nyumbani, Hizo kazi nyingine ukiwa na Vifaa unafanya mwenyewe tu bila gozi.
 
Naomba namba yake uyo wa chanika mkuu
 
Kutegemeana na eneo. Mfano mimi Dar nyumba ya 16 kwa 14 Rough floor labour chaji nililipa 300. Na Plaster nje na ndani 1.5M. Kwa ndani tu 900k ongea na fundi akupunguzie bei uchumi wenyewe huu sio
 
Kazi ya ujenzi hakikisha huruhusu fundi ajisimamie hata kama atakupiga maneno matamu kiasi gani.

Mpe wife wako akusimamie kazi itafanikiwa vizuri.
 
Simamia mwenyewe hadi mwisho kama huna muda mtume wife kama umeoa. Kama huna mke basi fanya kinachowezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…