Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Dah mkuu yani ni changamoto tuKazi ya ujenzi hakikisha huruhusu fundi ajisimamie hata kama atakupiga maneno matamu kiasi gani.
Mpe wife wako akusimamie kazi itafanikiwa vizuri.
mashine kutwa lak na ishirini, operator30, usafiri wa kwenda site na kuirudisha.?.ongea na fundi upate punguza la wastani or utapata fundi atakaelipua kaz yako..ongeza usimamiz mzuri.bt fundi anakupa huduma kama mjasiriamali asichukuliwe kama mwiz..mbali ya ukubwa nyumba pia unyoofu wa kuta zako pia waweza kua kigezo cha bei ya plasta.kama kuta zilipinda kaz inakua kubwa thats why fundi anajua itakula muda mwingi wa kazi..pokea ushaur bt fanya tathmin ya kinaKodi mashine ya zege kisha unaweza walipa mafundi Day
Makadirio ya Plasta nje na ndani ni 1.5 MBei gani unafanya na wewe
Jumlisha na na huo urembo
Rough floor ilikuwa na nchi ngpiKutegemeana na eneo. Mfano mimi Dar nyumba ya 16 kwa 14 Rough floor labour chaji nililipa 300. Na Plaster nje na ndani 1.5M. Kwa ndani tu 900k ongea na fundi akupunguzie bei uchumi wenyewe huu sio
UKUbwa wa chumba ukiwa ngapi Kwa ngapiKwa ufupi plaster chumba kimoja ni kati 50,000-70,000 na rafu 30,000-50,000 kwa ndani. Sebule, dining na jiko hesabu kama chumba kila kimoja.
Korido na vyoo inategemea na ukubwa unaweza vichanganya vikawa chumba kimoja. Pia bei inategemea na eneo na hadhi ya fundi.
2'Rough floor ilikuwa na nchi ngpi
Mafundi wa bunju wako na bei za ajabu sanaYaani rough flour pamoja na skimming ni laki 9 au laki Tisa kwa hiyo kazi moja tu?
Note: Bei ya ufundi itatokana na njaa ya fundi au jinsi alivyo maarufu na si ubora wa kazi.
Huyo fundi yuko juu, mtafute mwingine. Kama uko Chanika na viunga vyake nikuunganishe na mafundi bora wenye gharama nafuu.
Kuna fundi kutoka Bunju kaja Chanika kanitajia bei za ajabu, nilimpata fundi aliifanya ile kazi vizuri kwa pesa ambayo ile aliyoitaja za Bunju unazisiaha mara 2 na nusu ndio ifanane.
Ni wajinga sanaMafundi wa bunju wako na bei za ajabu sana
Ila wakuu kupitia jamvi hli yaani mmenisaidi sana maana kuna fundi alishanipiga kwenye msingi na kunyanyua boma "4mil", sasa iv alitaka kunipiga pesa mingi kwenye roughKama ni labour charge kwa hivyo vyumba vitatu ni siku moja tu anamaliza kwa hiyo hapo mafundi hawatazidi 4 na wasaidizi wao hawatazidi 5 kwa hesabu za haraka haraka kwa siku fundi analipwa elfu 20 na msaidizi elfu 10
Hesabu
Mafundi 4 × 20000= Tsh 80,000/=
Wasaidizi 5× 10000= Tsh 50,000/=
Jumla= 130,000/=
Cheki ulivyopigwa.
Amekupiga parefu sana, mara mbili yake. We agiza lori kubwa la kokoto, agiza roli la mchanga, nunua mwenyewe mifuko ya sumenti, halafu ahirisha kwenda kazini siku hiyo mwambie fundi leo tutafanya kazi pamoja na wewe.
Halafu uone kama hiyo gharama itafika. Mimi kwenye nyumba yangu siku wanafanya vitu vya maana, kuanzia umwagaji wa zege, nilikuwa siendi kazini, navaa nguo za kazi naenda kushinda hapohapo, wakiwa wanakoroga zege na mimi nakoroga, kubeba zege, kila kitu. Nimekuja kujua mafundi ni wezi sana.
Kwa ndan tu laki 9 hapana ghali 1m ndan na nje sawaNyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya kupiga plasta (ndani tu) ni 900,000/-.
Kwa uzoefu wenu, ni bei stahiki au anataka kunipiga?
Kama kawaida, ni lazima nilete kesi na changamoto zote zote za ujenzi katika jukwaa hili mpaka hitimisho lipatikane.
Nimepiga plasta ndani tu, vyumba viwili, jiko, vyoo viwili, sebule na dining. Pia akapiga na rafu chini. Bei ilikua 800,000/- jumla Kwa vyote plasta na rafu. Kwako haitakiwi kuzidi 1.2mil total.Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya kupiga plasta (ndani tu) ni 900,000/-.
Kwa uzoefu wenu, ni bei stahiki au anataka kunipiga?
Kama kawaida, ni lazima nilete kesi na changamoto zote zote za ujenzi katika jukwaa hili mpaka hitimisho lipatikane.
Kumbe Mimi nilibiwa kipindi najenga rough flouur fundi alinifanyia Kwa laki8 Haya mamhoKwa ufupi plaster chumba kimoja ni kati 50,000-70,000 na rafu 30,000-50,000 kwa ndani. Sebule, dining na jiko hesabu kama chumba kila kimoja.
Korido na vyoo inategemea na ukubwa unaweza vichanganya vikawa chumba kimoja. Pia bei inategemea na eneo na hadhi ya fundi.
Nimemuona jamaaa yuko vizuri kazi zake.Nimepiga plasta ndani tu, vyumba viwili, jiko, vyoo viwili, sebule na dining. Pia akapiga na rafu chini. Bei ilikua 800,000/- jumla Kwa vyote plasta na rafu. Kwako haitakiwi kuzidi 1.2mil total.
Fundi aitwa Ayubu Marwa, Facebook anapatikana Kwa jina hilo hilo. Contact yake 0716478927
Yeah, yuko poa. Ananyoosha vizuriNimemuona jamaaa yuko vizuri kazi zake.
Kumbe Mimi nilibiwa kipindi najenga rough flouur fundi alinifanyia Kwa laki8 Haya mamho
SaNyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya kupiga plasta (ndani tu) ni 900,000/-.
Kwa uzoefu wenu, ni bei stahiki au anataka kunipiga?
Kma kawaida, ni lazima nilete kesi na changamoto zote zote za ujenzi katika jukwaa hili mpaka hitimisho lipatikane.
Mnapigwa kwa sababu yakutaka kufanya vitu local. Mkuu ujenzi una taratibuu zake na protocol ukifwata hizo taratibu hata kwa ujenzi mdogo unapunguza hasara nyingi sana.Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya kupiga plasta (ndani tu) ni 900,000/-.
Kwa uzoefu wenu, ni bei stahiki au anataka kunipiga?
Kama kawaida, ni lazima nilete kesi na changamoto zote zote za ujenzi katika jukwaa hili mpaka hitimisho lipatikane.
Kama kweli ulitumia mifuko 20 ya simenti kwa eneo la 14 X 12.5m X 2" basi ndo maana mimi uwa sipati kazi za watu binafsi kirahisi na kimsingi uwa sihangaiki kuzitafuta ntapambana na hizi hiz za serikali. Nyumba zetu zinachoka mapema sana sbb ratio hiyo ni dhaifu sana kwangu kwa uchache ningekugonga mifuko 36. Mnajua kwamba mfuko 1 wa cement unaweza kujenga mpaka tofali zaidi ya 90 wkt std ni 50? Ushauri wangu kwa wote tafuta hela kidogo 30 au 50 muone mtaalam ukiwa na maswali yako akupe mwanga mfanoMimi wameniambia mifuko 20,
Yawezekana ni sahihi.
Nitachokifanya ni kutoondoka saiti mpaka wamalize mifuko yote.
Plasta Laki 6 hiyo ya Flow sawa Lak 5Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya kupiga plasta (ndani tu) ni 900,000/-.
Kwa uzoefu wenu, ni bei stahiki au anataka kunipiga?
Kama kawaida, ni lazima nilete kesi na changamoto zote zote za ujenzi katika jukwaa hili mpaka hitimisho lipatikane.
Punguza ujuaji usio maana ktk maisha...Kama kweli ulitumia mifuko 20 ya simenti kwa eneo la 14 X 12.5m X 2" basi ndo maana mimi uwa sipati kazi za watu binafsi kirahisi na kimsingi uwa sihangaiki kuzitafuta ntapambana na hizi hiz za serikali. Nyumba zetu zinachoka mapema sana sbb ratio hiyo ni dhaifu sana kwangu kwa uchache ningekugonga mifuko 36. Mnajua kwamba mfuko 1 wa cement unaweza kujenga mpaka tofali zaidi ya 90 wkt std ni 50? Ushauri wangu kwa wote tafuta hela kidogo 30 au 50 muone mtaalam ukiwa na maswali yako akupe mwanga mfano
1. Ratio ya zege nyumba ya kawaida ipoje?
2. Ratio ya plaster, floor etc etc.
Upande wa labor charge inategemeana sana fundi ni wa eneo gani, uzoefu + ubora na speed kwny kazi. Kuna mafundi nawalipa 20 wengi 35 per day na wametofautiana mbaya kwa kila kitu. Saidia fundi 12 per day ilikua 15 nikashusha baada ya kuanza mizinguo kazin.