Gharama ya mafuta ni kubwa sana

Gharama ya mafuta ni kubwa sana

Mimi per day na tumia kama 8- 10 litres nakaa mbali kidogo. Kwa siku 8-10 x3199 =26k - 32k. Kwa mwezi ni 770k - 960k. Kwa mwaka ni 9.4 milloni-11.6 million.

In short kwa mwaka naweza nunua gari lingine, hapo bado services, fine, insurance, accidents, emergency and etc.

Na default this week, naona inatosha

Wengine hali yenu ikoje?
Kabla ya umiliki wa gari kipato chako kikoje?
Tuanzie hapo kwanza
 
Mimi per day na tumia kama 8- 10 litres nakaa mbali kidogo. Kwa siku 8-10 x3199 =26k - 32k. Kwa mwezi ni 770k - 960k. Kwa mwaka ni 9.4 milloni-11.6 million.

In short kwa mwaka naweza nunua gari lingine, hapo bado services, fine, insurance, accidents, emergency and etc.

Na default this week, naona inatosha

Wengine hali yenu ikoje?
Kwa hoyo wewe unakaa kilomita 80 kutoka mjini?

Sasa hayo ni mambo ya kujitakia.

Leta sababu nyingine.
 
Unavyo piga hesabu za hivyo, pia kumbuka gari limekusaidia mishe ngapi za kupata hela au kuwahi sehemu muhimu. tunawazaga negative tu ila positive tunasahau, sisi binadamu huwa tunadhani tumeumbiwa kupata tu kila siku,

Ndugu yangu hata benki zinazo ingiza hela kila siku nazo huwaga zinapata hasara.
 
H

Huyo jamaa mwongo achana naye.

Yaani utumie Lita 8 kwa siku kwa safari za kawaida?

Then wewe unaingiza bei gani?

Jamaa anafanyia biashara lakini anataka kutuaminisha kuwa ni matumizi yake ya kawaida
akili Huna, I can't answer this level of iq
 
Litter nane nyingi sana mkuu kwasiku, unakaa Kibaha au mlandizi na kibarua chako kiko Posta kama unakaa huko park gari Kimara hapo upande mwendo kasi. Sisi wengine tuna nyumba huko Chanika 65km kwenda na kurudi ila hatukai kama vipi jisogeze karibu kwann ujitese mkuu
 
akili Huna, I can't answer this level of iq
Acha upuuzi na stori zako za kuunga unga.
Mwanaume mwenye uwezo wa kutumia Lita Nane kwa Siku sio mtu wa kulia lia bei ya mafuta.

Itakuwa hiyo gari ni.ya mkopo au umeazima kwa shemeji
 
Tatizo la Mtu mweusi anazani akiwa anamiliki gari lazima kila siku liwe barabarani hata Kama hiyo sehemu anayokwenda miundombinu ya public transport iko vizuri sana! Mfano mtu unakaa Morocco alafu unataka kwenda Kariakoo kubadili card yako ya Bank unakula Mwendokasi kasi faster uko town! Sema kuna wengine ndiyo atakomaa na foleni kisa Yuko kwa gari yake!!
Hahaha.....eti mtu anakaa kibaha kisa ana gari basi kila siku anachoma lita 8. Ina maana hiyo kazi anayoenda kufanya laza iwe inamwingizia si chini ya Laki moja kwa siku. Nje ya hapo ni ujinga tu.
 
kutishana tu, wakat cjanunua athlete dah watu walikua wananitisha sana yan nikaona isiwe tabu nikazama benk nikachukua m 12 zangu kwa miaka 3 na miez 6, nikaingia mwanza nikadaka mnyama crown athlete namba DQ saaafi kabisa, sasa iv ninachokifanya siku nina ela ya mafuta naendesha siku sina linapaki na sio kila sehem naenda nalo sehem zingine nachukua pikpik yangu chap nafika, sina stress na enjoy nalo, linanipa heshima na pesa nikienda kufanya vikao vya biashara naenda nalo napata heshima kubwa, kiufupi tutafute pesa gari ina heshima yake. Yan fikiria lini ulisha wah kulala nje kisa hujajenga thn linganisha mara ngap umetembea kwa miguu kisa huna usafiri asa nyakat za mvua
 
Back
Top Bottom