Gharama ya mafuta ni kubwa sana

Kabla ya umiliki wa gari kipato chako kikoje?
Tuanzie hapo kwanza
 
Kwa hoyo wewe unakaa kilomita 80 kutoka mjini?

Sasa hayo ni mambo ya kujitakia.

Leta sababu nyingine.
 
Unavyo piga hesabu za hivyo, pia kumbuka gari limekusaidia mishe ngapi za kupata hela au kuwahi sehemu muhimu. tunawazaga negative tu ila positive tunasahau, sisi binadamu huwa tunadhani tumeumbiwa kupata tu kila siku,

Ndugu yangu hata benki zinazo ingiza hela kila siku nazo huwaga zinapata hasara.
 
H

Huyo jamaa mwongo achana naye.

Yaani utumie Lita 8 kwa siku kwa safari za kawaida?

Then wewe unaingiza bei gani?

Jamaa anafanyia biashara lakini anataka kutuaminisha kuwa ni matumizi yake ya kawaida
akili Huna, I can't answer this level of iq
 
Litter nane nyingi sana mkuu kwasiku, unakaa Kibaha au mlandizi na kibarua chako kiko Posta kama unakaa huko park gari Kimara hapo upande mwendo kasi. Sisi wengine tuna nyumba huko Chanika 65km kwenda na kurudi ila hatukai kama vipi jisogeze karibu kwann ujitese mkuu
 
akili Huna, I can't answer this level of iq
Acha upuuzi na stori zako za kuunga unga.
Mwanaume mwenye uwezo wa kutumia Lita Nane kwa Siku sio mtu wa kulia lia bei ya mafuta.

Itakuwa hiyo gari ni.ya mkopo au umeazima kwa shemeji
 
Hahaha.....eti mtu anakaa kibaha kisa ana gari basi kila siku anachoma lita 8. Ina maana hiyo kazi anayoenda kufanya laza iwe inamwingizia si chini ya Laki moja kwa siku. Nje ya hapo ni ujinga tu.
 
kutishana tu, wakat cjanunua athlete dah watu walikua wananitisha sana yan nikaona isiwe tabu nikazama benk nikachukua m 12 zangu kwa miaka 3 na miez 6, nikaingia mwanza nikadaka mnyama crown athlete namba DQ saaafi kabisa, sasa iv ninachokifanya siku nina ela ya mafuta naendesha siku sina linapaki na sio kila sehem naenda nalo sehem zingine nachukua pikpik yangu chap nafika, sina stress na enjoy nalo, linanipa heshima na pesa nikienda kufanya vikao vya biashara naenda nalo napata heshima kubwa, kiufupi tutafute pesa gari ina heshima yake. Yan fikiria lini ulisha wah kulala nje kisa hujajenga thn linganisha mara ngap umetembea kwa miguu kisa huna usafiri asa nyakat za mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…