Gharama ya shangingi moja, inaweza kununua vifaa vingapi vya uokoaji wa watu walionaswa kwenye vifusi vya jengo la ghaorofa lililoporomoka?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka.

Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku zijazo tuweze kuokoa watu majanga kama haya na mengine yakitokea.

Pia, wanaoweza kuweka gharama halisi ya mashangingi haya(new model) watuwekee hapa maana nayo yako ya aina tofauti tofauti na yako mengi yamejazanai kama nyuki hapa nchini.

Wabunge nao pia waone aibu kushindwa kuisimamia serikali kwa mambo kama haya wakati wao ndio wawakilishi wa wananchi na ndio wanapitisha bajeti za serikali.
 
Pia, wanaoweza kuweka gharama hali ya mashangingi haya new model watuwekee hapa maana nayo yako ya aina tofauti tofauti.

Wabunge nao pia waone aibu kushindwa kuisimamia serikali kwa mambo kama haya wakati wao ndio wawakilishi wa wananchi na ndio wanapitisha bajeti za serikali.
Rubbish....!
 
Tatizo ukiwa pale juu akili na mtazamo huwa inabadirika. Hata Matatizo yabadilika huwezi kukumbuka ya watu wa chini chini, tatizo huwa ni Yale tu yanayorishia usalama wa wewe kubaki hapo juu au kwenda juu zaidi.

Hayo ma V8 tumeshalalamika sana, hasa Kwa viongozi wa ngazi za chini kama wakurugenzi, yalitakiwa yaishie kwenye level za Mawaziri tu kama kweli tumeshindwa, wengine wapewa brand/model nyingine imara with less price(chini ya V8 ) lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa.

Unakumbuka Hata wakati wa JPM na kubana matumizi kwake kote hii haikuwa kipaumbale chake, Na msaidizi wake Mmoja alikuja na msemo Maharufu "... Wewe unaijua V8 wewe?....."

Tatizo pia kuwapa ongozi wafanyabishara bila kuwa Sheria zinazowabana wakiwa viongozi wa umma wakabhizi biashara mpaka watakapo achia ngazi. Kumbuka mfanya akili ni Kubwa sana katika kutafuta loophole kutengeneza faida ni sawa na kumpa ngedere alide shamba la maindi.
 
CCM ni kuwaondoa madarakani tu hamna lingine. Wamelewa madaraka kupitliza mpaka wamesahau wajibu wao kwa umma.

Hopeless kabisa hawa watu.;
 
Swali fikirishi utaiondoaje CCM madarakani jadili, kumbuka unaishi kwenye jamii ya bora liende, (kanyaga twende), ambayo haiwezi kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kuja, kwa maneno rahisi jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Jamii ambayo husafishika ubongo

A society that can be brainwashed
 
Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka.

Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku zijazo tuweze kuokoa watu majanga kama haya na mengine yakitokea.

Pia, wanaoweza kuweka gharama halisi ya mashangingi haya(new model) watuwekee hapa maana nayo yako ya aina tofauti tofauti na yako mengi yamejazanai kama nyuki hapa nchini.

Wabunge nao pia waone aibu kushindwa kuisimamia serikali kwa mambo kama haya wakati wao ndio wawakilishi wa wananchi na ndio wanapitisha bajeti za serikali.
Kafie mbele. Hatunaga muda wa kulishana na CHAGADEMA. Greetings from Rio
 
Back
Top Bottom