Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana

Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000?

Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi ya 7 kwa unafuu Afrika.

111.JPG
1111.JPG
 
Madhara ya kuongozwa na wazee
Kabisa. Wanahisi vijana wanatumia internet kwaajiri ya kutazama ngono mitandaoni na kutukana viongozi wa CCM basi.

Wanasahau kuwa 90% ya watumia internet hata hawajihusishi na masuala ya siasa na wengine hata hizo pornography wanazisikia tu kwa watu wengine.

Matumizi makubwa ya internet data ni ku browse mitandaoni kutafuta fursa zilizojificha katika maisha haya ya Tanzania ya kifreemason ambayo tunaishi tu kwa kutojua zuri wala baya la kesho. Ni ulinzi wa MUNGU tu ndio maana tupo salama ila haya majitu ya serikalini ni laana tupu.

I hope moto upo maana hawa watu hawastahili msamaha.
 
Back
Top Bottom