Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

Wenzetu wanatengeneza ndege, meli, nuclear, wanatuma satellite angani, in short wapo juu sana, sisi bado tunapigana kupandisha bando na matozo. Hii ndio afilika, (DAF) Daima Afrika Fukara
 
Watuambie tu kuwa tunapswa tutumie land line tena zile za TTCL ili hizi tuchezee game na kupigia picha.habari tutazipata kwenye magazeti na Redio Tanzania.
 
Wenzetu wanatengeneza ndege, meli, nuclear, wanatuma satellite angani, in short wapo juu sana, sisi bado tunapigana kupandisha bando na matozo. Hii ndio afilika, (DAF) Daima Afrika Fukara
Tanzania ni ya 6 kwa kuwa na gharama nafuu za bando afrika, tumshukuru sana Mungu na rais samia kwa hilo
 
Tanzania ni ya 6 kwa kuwa na gharama nafuu za bando afrika, tumshukuru sana Mungu na rais samia kwa hilo

Inategemea na nchi yenyewe, sio kila nchi watu wake wana uchumi mzuri.

Kuhusu mama samia, nampenda sana na wala sina tatizo nae, kwenye bando, tozo na mfuta ajaribu kuliweka sawa
 
Wacha bei ipande watumiaji wapungu na speed ya mtandao iongezeke
Fanya kitu unauwezo nacho huna uwezo nacho waache wenye uwezo nacho watumie

Tujifunze kuishi kulingana na uwezo ulionao malalamiko hayana maana zaidi ya kukufedhehesha moyo na kukuuwa ukiwa bado kijana mdogo
 
piga kima hao kwanza walisema wana jambo lao sasa wanalalamika pigaaaaaaaaaaaaaaa, mpaka yatoke damu hayo
 
Tuna jambo letu

20220817_122934.jpg
 
Back
Top Bottom