Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka
= Umeitoa wapi hii, kuboresha vifurushi!
===
Wakati kilichoandikwa ni hiki

Ndugu Mteja, tunafanya maboresho katika mtandao leo usiku 17/08 (Saa 3Usk-11Asbh) unaweza kushindwa kupata baadhi ya huduma muda huo.Tunaomba radhi kwa usumbufu
 
TCRA wapo bizekuziungia nyimbo za wakina zuchu
TCRA wapo nyuma ya huu upumbavu infact wao ndio wanaudirect.

Kuna source m'moja anafanya kazi katika haya makapuni ya simu alinambia TCRA wameingia hadi katika bei za vifurushi na kutaka mgao sawa na makampuni as if na wao wanatupa huduma ya mawasiliano.

Yaani wanawatoza makampuni mapato katika zile Kb wanalipa kama shilingi 2 kama sio 5.

Kwa hiyo kila unachotumia wewe wao wanakwenda kudai kampuni kwa kila KB uliyotumia wao wanataka mgano.

The same bullcrap government apparatus suck*rs do mi hata TRA u see how they over charge kodi kwenye imports ambazo si za kibiashara kama magari au personal items ambazo kiuchumi si za kutengeneza faida bali ni za kununua na kutumia then basi.

Haya maisha bwana. [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani watu wanajitoa ufahamu.

Hivi unatakiwa kuwa na degree level gani na ya masomo gani kushindwa kujua kuwa unapotap kodi katika bidhaa muhimu kama huduma ya internet na usafiri wa magari unafanya raia kuwa na maisha ya miaka ya 1990's.
 
= Umeitoa wai hii, Unaotosha!
===
Wakati kilichoandikwa ni hiki

Ndugu Mteja, tunafanya maboresho katika mtandao leo usiku 17/08 (Saa 3Usk-11Asbh) unaweza kushindwa kupata baadhi ya huduma muda huo.Tunaomba radhi kwa usumbufu
tulia kiongozi ufanyiwe marekebisho, kwani hata ikipanda kuna shida gani bado Tanzania itakuwepo top 10 kwa bei nafuuu la bando afrika

1111.JPG
 
Naona mitandao yote kesho wanafanya maboresho Ila nadhani wanashusha bando sio kupandisha
toa sababu moja ya kushusha kama waziri akiwatetea kupandisha bando alisema gharama za uendeshaji zimepanda je zimeshashuka, mafuta yameshuka?
 
Hizi ni sms kutoka TTCL na Tigo. Na bado naambiwa na Dstv nao wanakuja na mkeka mpya wa vifurushi. Anaupiga mwingi...
C84FFC79-A2D6-4BC9-851A-D4C0BFD32F2D.jpeg
2A15E80D-19A2-4F7B-A085-B68CB1AA44D9.jpeg
 
Back
Top Bottom