Wana akili za kizeeDuh!...mawaziri wengi ni vijana wa makamo
Tanzania ni ya 6 kwa kuwa na gharama nafuu za bando afrika, tumshukuru sana Mungu na rais samia kwa hiloWenzetu wanatengeneza ndege, meli, nuclear, wanatuma satellite angani, in short wapo juu sana, sisi bado tunapigana kupandisha bando na matozo. Hii ndio afilika, (DAF) Daima Afrika Fukara
Tanzania ni ya 6 kwa kuwa na gharama nafuu za bando afrika, tumshukuru sana Mungu na rais samia kwa hilo
VPN inatumikaje kukwepa gharama za internet mkuu? Maana Ninayo ila sielewiTunaotumia VPN tunakomenti wapi?
Sorry naomba unieleweshe namna ya kutumia internet kwa vpn nataka nihamie hukoTunaotumia VPN tunakomenti wapi?
naam wanatuambia tuwe na shukrani sababu bado bei ya bando ni nafuu sana ukilinganisha na nchinyingineNchi yao hii