????Kwa vile nahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.
Nchi za watu masikini human basic needs????
Yaani wameamua kukomoa watu wa hali za chini. !!Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.
Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.
Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.
Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye ni mtaalam wa Sanaa.
Kwani ni lazima kuwa na bando??
Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.
Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.
Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.
Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye ni mtaalam wa Sanaa.
Sifutagi poleHapana. Uwe na heshima tafadhali sana! Ulichokiandika hakina heshima hata kwako mwenyewe na kinachukiza sana.πππ