Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.

Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.

Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.

Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye ni mtaalam wa Sanaa.
 
Huu ni mkakati wa CCM kupunguza watu wanaikosoa serikali mtandaoni pamoja na viongozi wa CCM. Usitegemee unafuu wowote katika hili.

CCM ipo ili kuwagandamiza na kuwanyanyasa watu kiuchumi, kijamii na kisiasa ila siyo kuleta maendeleo ya wananchi. Mtu akishikwa amechoma mkaa atafungwa miaka hata 30 ila kiongozi fisadi anatorosha wanyama, wanasaini mikataba feki na kukwepa kulipa kodi hawawezi kushitakiwa wala kufungwa.

Nenda magerezani kama utakuta hata kiongozi amefungwa kwasababu ya ufisadi. Hayupo. Hapo Lumumba wanalaini za TTCL wanapiga bure, wanatuma meseji bure na kutumia internet bure. Lini watakufikiria mwananchi?
 
Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.

Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.

Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.

Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye ni mtaalam wa Sanaa.
Yaani wameamua kukomoa watu wa hali za chini. !!
 
Kila siku haya malalamiko yanatolewa ajabu hayafanyiwi kazi, ndio kwanza wanazidi kubonyeza kitufe cha kupandisha bei.

Naona CCM na makampuni ya mitandao ya simu watakuwa wanajuana, wana mipango yao, kwani hao ndio wafadhili wao wakati wa kampeni.
 
Vodaaaaaaa

Juzi kati niliunga MB za elfu 10
Hee naletewa sms ndugu mteja mb zako za 2000 zinakaribia kuisha.

Bundle la efu30 week 2 limeisha, na matumizi ni kawaida sana.

Bundle la mwezi unatumia week 2
Bundle la week siku 2
Hahahaa
Dah!

#Tutafute Hela Tuache Kulalamika
Maana 4G tunateleza kwa raha lakini
 
Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.

Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.

Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.

Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye ni mtaalam wa Sanaa.

Waziri Nape kwa hili kafeli kupitiliza, yaani Nape sio yule alikuwa anajali maslahi ya watanzania, hivi sasa katulia, hajali habari za data kabisa za makampuni ya simu, ni ghali mno na bando linaisha kwa kasi mno.
 
Hapana. Uwe na heshima tafadhali sana! Ulichokiandika hakina heshima hata kwako mwenyewe na kinachukiza sana.🙏🙏🙏
 
Aliulizwa kajibu kwa nyodo kama hamna bando tafuteni shughuli nyingine za kufanya.
 
kazi kweli kweli nchi hii....waziri hana habari rais hana habari wananchi mtajijua wenyewe hapo ndio tulipofikia watu wanakula kwa urefu wa kamba zao na wanalamba asali MSIWATINGISHE
 
Back
Top Bottom