Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Nenda CFAO upate 0KM. Nazo hazikupita bandarini?Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumika
Hakuna gari inayouzwa ikiwa na 0 kmNenda CFAO upate 0KM. Nazo hazikupita bandarini?
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
0-30Milleage zinakuwa Regarded kama 0KM boss.Hakuna gari inayouzwa ikiwa na 0 km
Yani bandarini hakuna gari mpya inayopita au sijaelewa point yako?...Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumika
Hummer production kaichukua mchina now...na niliona mahali nazani stil a concept HUMMER RHINO this concept is a beast!!..Yap, ni mshamba totally. Hio gari sikuwahi ipenda na sitakaa niipende. Hao GM walipoteza tu hela zao
Aisee nimefuatilia Uzi tangu page 1 mpaka hapa. Nimegundua mambo mengi. Watu wanaongea kwa showoff za kijinga.
Mf GuDume hana gari hata vitz na nna hofu hata baiskeli hajawahi nunua.
Kama unabisha nenda kwenye profile yake then fuatilia mada na michango yake. Ni hopeless mzuri but kwa sababu tunatumia fake ID ana fake mpaka life
Mimi sijawahi miliki hata boxer tu .Nataka niongee kwa experience ndogo niliyoipata kuna jamaa angu mmoja an pikipiki mpya kainunua juzi XLR ckumbuki ni cc ngapi .
Believe ile tention ambayo hua tunaipata tunapokua hata baa tu kuna watu na vi vitz vyao huona aibu .
Kama mtoto wa kiume na Mungu Akinijalia ninatamani sana magari ya kibabe kama hayo kina range defender hummer jaguar na mengine mazuri mazuri
Mkuu hizo cc za bajajNimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Wee mbona hujasema kama unataka kununua?Hii Gari kwa hapa Bongo ndio Brand ya Uhakika!!.
Jina lake tu, Ndoa kadhaa zitakua zimeshavunjika.!!.
Utakua kama pimp mtaani.
We nunua tu.
Usijali kama ni used ama old model.
We Nunua nikupeleke ile baa yenye mademu wakali. Ili Tukasumbue..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa Kweli mkuu nilisahau sifuri moja hapo.M
Mkuu hizo cc za bajaj
Kama nakuona ivi Masoud Kipanya ukiwatisha watu wasiwe na hayo magariWakuu habari,kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari,ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli???? Haya magari si yanauzwa milioni 300?
Sent using Jamii Forums mobile app