Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
- Thread starter
-
- #41
Asante sana mkuu nitapata lodge ya elfu kumi?Pia kuna sehemu mpya iko vizuri inaitwa "Newala pazuri", atapata hitaji lake .
Kama anapenda kumwagilia moyo aende "No stress bar" iko pale nyuma ya bank ya NMB.
Asante mkuu wana ofisi pale Sudan eeh?
Asante mkuu wana ofisi pale Sudan eeh?
Gest za bei rahisi zipo nyng na newala hakuna log ya kufikia 80kZipo tsh 50,000 mpaka 80,000
Hizo naona ndo bei ndogo ndogoAcha kuogofya watu, kwani amekuambia anaenda "Shimo la Mungu hotel"?
Asante sana kakaYah Ipo Sudan Pia Unaweza Wasilian na Huyu Agent Wao Yupo Mbagala Akakuwekea Siti Ukalipia Asubuh +255623717059
Ya shilingi elfu kumi ipo kaka?Gest za bei rahisi zipo nyng na newala hakuna log ya kufikia 80k
Zipo nyingi sana, kuanzia maeneo ya stand hadi mitaani.Ya shilingi elfu kumi ipo kaka?
Zipo, mfano ni "KHM guest house", "Nawema guest house" pamoja na "Mponda Guest house".Asante sana mkuu nitapata lodge ya elfu kumi?
Asante sana mkuu nikifika kesho nitatoa mrejesho. Vipi kuhusu population ya watu? Mji umechangamka au umepooza kama Lindi?Zipo nyingi sana, kuanzia maeneo ya stand hadi mitaani.
Nataka nikae sehemu iliyo changamka kakaZipo, mfano ni "KHM guest house", "Nawema guest house" pamoja na "Mponda Guest house".
Sijajua unapenda ukae sehemu tulivu au zenye kelele ?
Newala ina population ndogo, pia hali ya hewa ina ubaridi kuliko maeneo mengine ya mkoa wa Mtwara kama Mtwara mjini na Masasi.Asante sana mkuu nikifika kesho nitatoa mrejesho. Vipi kuhusu population ya watu? Mji umechangamka au umepooza kama Lindi?
Vipi kuhusu hali ya hewa na usalama wa raia?
Asante sana kaka. Usalama upo wa kutosha? Baadae nitahitaji chumba cha kupanga. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na kitangali? Bei za vyumba zimekaaje ? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingineNewala ina population ndogo, pia hali ya hewa ina ubaridi kuliko maeneo mengine ya mkoa wa Mtwara kama Mtwara mjini na Masasi.
Newala unafika saa 9 mchana au saa 10 jioniTukiondoka Dar saa kumi na mbili na nusu Newala tunafika saa ngapi mkuu?
Hali ya hewa ni kawaida muda huu hakuna baridi ila Kuna mvua za hapa na pale, watu waastarabu kuleAsante sana mkuu nikifika kesho nitatoa mrejesho. Vipi kuhusu population ya watu? Mji umechangamka au umepooza kama Lindi?
Vipi kuhusu hali ya hewa na usalama wa raia?
Usalama uko wa kutosha, naona wapo wenzio wanaofanyia kazi Kitangali (Newala DC).Asante sana kaka. Usalama upo wa kutosha? Baadae nitahitaji chumba cha kupanga. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na kitangali? Bei za vyumba zimekaaje ? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine
Asante sana kaka. Pia nimeambiwa huko kuna ukimwi sana nichukue tahadhari. Unalizumgumziaje hilo kaka?Usalama uko wa kutosha, naona wapo wenzio wanaofanyia kazi Kitangali (Newala DC).
Mtaa mzuri kwako ni PCCB au maeneo yaliyo karibu na barabara ili iwe rahisi kwako kusafiri asubuhi kuelekea kibaruani.
Bei za vyumba ni rafiki, unachagua standard yako, mfano vipo vya 10k, 20k, n.k.
Lakini sehemu rafiki ya wewe kuishi kiusalama na isiyo na uswahili mwingi lazima upate sehemu ambayo kodi haipungui 30k hadi 100k.
Vyumba unalipia kwa mwezi au miezi 2, 3, 6 na kuendelea. Kwa mara ya kwanza unaweza lipia kwa miezi mitatu au zaidi, baada ya hapo unalipia kwa muundo uuwezao.
Nyumba za kupanga ni nyingi sana kipindi kama hiki kisicho cha msimu wa Korosho, hivyo unajichagulia upendavyo.
Utapata chumba kupitia kwa mwenyeji wako au dalali.
Huko hakuna ule utaratibu eti bila dalali haupati chumba cha kupanga.
Bodaboda anaweza kukupeleka mahali ambapo siyo nafuu sana kwani huwa wanalipwa kamishen akimpeleka mteja.Maeneo mengi naona kama bodaboda ndo wanajuaga gesti nzuri za bei nafuu zilipo, mi nawatumiaga hao nikiwa mgeni sehemu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Asante sana kaka vipi kuhusu maambukizi ya ukimwi. Unajua tena sisi vijana damu bado ina chemkaHali ya hewa ni kawaida muda huu hakuna baridi ila Kuna mvua za hapa na pale, watu waastarabu kule
Na bei za Frame zikoje kaka? Nitataka nichukue frame ambayo nitaifanya ofisi yangu inayo husika na online content creation kama my side hustleUsalama uko wa kutosha, naona wapo wenzio wanaofanyia kazi Kitangali (Newala DC).