Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

Pia kuna sehemu mpya iko vizuri inaitwa "Newala pazuri", atapata hitaji lake .

Kama anapenda kumwagilia moyo aende "No stress bar" iko pale nyuma ya bank ya NMB.
Asante sana mkuu nitapata lodge ya elfu kumi?
 
Zipo, mfano ni "KHM guest house", "Nawema guest house" pamoja na "Mponda Guest house".

Sijajua unapenda ukae sehemu tulivu au zenye kelele ?
 
Zipo nyingi sana, kuanzia maeneo ya stand hadi mitaani.
Asante sana mkuu nikifika kesho nitatoa mrejesho. Vipi kuhusu population ya watu? Mji umechangamka au umepooza kama Lindi?
Vipi kuhusu hali ya hewa na usalama wa raia?
 
Newala ina population ndogo, pia hali ya hewa ina ubaridi kuliko maeneo mengine ya mkoa wa Mtwara kama Mtwara mjini na Masasi.
 
Asante sana kaka. Usalama upo wa kutosha? Baadae nitahitaji chumba cha kupanga. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na kitangali? Bei za vyumba zimekaaje ? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine
 
Kwa Newala, nyuma ya Halmashauri pale ipo ya 20k kwa siku,
Masasi zipo nyingi Mkuu, ukitoka stand njia ya kwenda Newala Kuna Moja matata sana bei ni 15k
 
Asante sana mkuu nikifika kesho nitatoa mrejesho. Vipi kuhusu population ya watu? Mji umechangamka au umepooza kama Lindi?
Vipi kuhusu hali ya hewa na usalama wa raia?
Hali ya hewa ni kawaida muda huu hakuna baridi ila Kuna mvua za hapa na pale, watu waastarabu kule
 
Asante sana kaka. Usalama upo wa kutosha? Baadae nitahitaji chumba cha kupanga. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na kitangali? Bei za vyumba zimekaaje ? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine
Usalama uko wa kutosha, naona wapo wenzio wanaofanyia kazi Kitangali (Newala DC).

Mtaa mzuri kwako ni PCCB au maeneo yaliyo karibu na barabara ili iwe rahisi kwako kusafiri asubuhi kuelekea kibaruani.

Bei za vyumba ni rafiki, unachagua standard yako, mfano vipo vya 10k, 20k, n.k.
Lakini sehemu rafiki ya wewe kuishi kiusalama na isiyo na uswahili mwingi lazima upate sehemu ambayo kodi haipungui 30k hadi 100k.

Vyumba unalipia kwa mwezi au miezi 2, 3, 6 na kuendelea. Kwa mara ya kwanza unaweza lipia kwa miezi mitatu au zaidi, baada ya hapo unalipia kwa muundo uuwezao.

Nyumba za kupanga ni nyingi sana kipindi kama hiki kisicho cha msimu wa Korosho, hivyo unajichagulia upendavyo.

Utapata chumba kupitia kwa mwenyeji wako au dalali.

Huko hakuna ule utaratibu eti bila dalali haupati chumba cha kupanga.
 
Asante sana kaka. Pia nimeambiwa huko kuna ukimwi sana nichukue tahadhari. Unalizumgumziaje hilo kaka?
 
Usalama uko wa kutosha, naona wapo wenzio wanaofanyia kazi Kitangali (Newala DC).

Mtaa mzuri kwako ni PCCB au maeneo yaliyo karibu na barabara ili iwe rahisi kwako kusafiri asubuhi kuelekea kibaruani.

Bei za vyumba ni rafiki, unachagua standard yako, mfano vipo vya 10k, 20k, n.k.
Lakini sehemu rafiki ya wewe kuishi kiusalama na isiyo na uswahili mwingi lazima upate sehemu ambayo kodi haipungui 30k hadi 100k.

Vyumba unalipia kwa mwezi au miezi 2, 3, 6 na kuendelea. Kwa mara ya kwanza unaweza lipia kwa miezi mitatu au zaidi, baada ya hapo unalipia kwa muundo uuwezao.

Nyumba za kupanga ni nyingi sana kipindi kama hiki kisicho cha msimu wa Korosho, hivyo unajichagulia upendavyo.

Utapata chumba kupitia kwa mwenyeji wako au dalali.

Huko hakuna ule utaratibu eti bila dalali haupati chumba cha kupanga.
Na bei za Frame zikoje kaka? Nitataka nichukue frame ambayo nitaifanya ofisi yangu inayo husika na online content creation kama my side hustle
 
Back
Top Bottom