Gharama za harusi kwa bwana harusi

Gharama za harusi kwa bwana harusi

Ha ha ha, generator??
nzuri sana hii

Na msisahau siku hizi katika mahali pamoja na blanketi la bibi kuna kipengele kimeongezwa kwamba linatakiwa na jenereta la babu!
 
Khaaa sitaki kuamini kama nimekusahau kongosho my lvly friend....

Wewe utabeba sanduku la mwali huku unasasambua....lol. TF tunamfungisha ndoa ya mkeka hivyo hakuna cha gate wala nini..
Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
 
Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
Ha ha ha, wanataka lita ngapi? Kuna mahali tulialikwa kupeleka kishika uchumba nkashangaa eti na sukari nayo imo...lol wazee wana mahesabu sana wanaangalia nini adimu ndio wanataja hicho, hicho..
 
hahahha. . .
Ila angalau na we umeridhia, hutotekwa ukitokea bombani.

Haya unijulishe mwaya nikuletee na zawadi.
tatizo likitokea libazazi aambalo sijapanga nalo dili sijui itakuwaje maana hii kitu haishtakiwi popote mmmmh itakuwa soo safari itaanzia chemchem kula ngwara ya ukweli
 
Ntambembeleza tu usijali.
Mwezi ukiwa mchanga ni neno moja tu huwa anakumbuka ni 'Mafia'
Ngoja baada ya wiki moja ataelewa kabisa.

Nisaidie basi kumbembeleza mateka wako, manake france yenyewe watapelekwa ya Mafia..lol.
 
Basi anakupenda sana kama kaomba mafuta. Kuna mtu hapa aliombwa apeleke Grid ya taifa na megawati.

Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
 
mbona lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
kumuoa liizy ni raisi kuliko mwanammke yeyote
andaa 30 ya kondoo mwalike lizzy kwako,mfungie ndani hadi asbh,asb wapigie wazazi wake simu waambie lizzy amelala kwako na watumie ela 30 waambie ni ya kondoo kwisha habari
 
Ha ha ha, wanataka lita ngapi? Kuna mahali tulialikwa kupeleka kishika uchumba nkashangaa eti na sukari nayo imo...lol wazee wana mahesabu sana wanaangalia nini adimu ndio wanataja hicho, hicho..
Eti genereta lao Lizzy ni 50KVA kwahiyo linatumia lita 100 za mafuta huu si uonevu....hao wazee waliwalia timing vizuri maana wanajua kuwa sukari kilo moja ni 3000 halafu kijijini sukari wanatumia mara moja kwa mwaka unafikiri kwanini wasiwawekee na sukari
 
bora ndoa za mkesha wa Pasaka...........asubuhi unaamka kusheherekea na ufufuko wa bwana
 
tatizo likitokea libazazi aambalo sijapanga nalo dili sijui itakuwaje maana hii kitu haishtakiwi popote mmmmh itakuwa soo safari itaanzia chemchem kula ngwara ya ukweli

Hahahahha. . .
Uwiiiiii, ole wa mtu anivamie xmass kama hajanirudisha mwenyewe.
 
We unapenda bure ehhh?
Mzee wako kwenye mahari waliweka kipengele kwamba nitafute greda nichonge barabara inayofika hadi kwenu nikafanya hivyo sasa na mafuta tena jamani Lizzy si mniambie tu kama mnataka kufungua sheli ya kuuza dizeli na petroli
 
Eti genereta lao Lizzy ni 50KVA kwahiyo linatumia lita 100 za mafuta huu si uonevu....hao wazee waliwalia timing vizuri maana wanajua kuwa sukari kilo moja ni 3000 halafu kijijini sukari wanatumia mara moja kwa mwaka unafikiri kwanini wasiwawekee na sukari
Afu mzee mwenyewe ni mwanajeshi mstaafu lakini hana hata huruma...kabila lake ni mngoni asee, ila tunashukuru ndoa ilifungwa...lol.
 
Back
Top Bottom