Na msisahau siku hizi katika mahali pamoja na blanketi la bibi kuna kipengele kimeongezwa kwamba linatakiwa na jenereta la babu!
Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari piaKhaaa sitaki kuamini kama nimekusahau kongosho my lvly friend....
Wewe utabeba sanduku la mwali huku unasasambua....lol. TF tunamfungisha ndoa ya mkeka hivyo hakuna cha gate wala nini..
Lol, tunakoelekea kuna siku bwana harusi mtarajiwa ataambiwa ajenge ghorofa la shangazi ndio apewe mke.Ha ha ha, generator??
nzuri sana hii
:lol::lol:..Nikikukamata weweKheee nimegundua wakaka wengi wa JF ni wachungu.
Angalau mmenisaidia kupunguza list yangu ya potential hubbies...
Ha ha ha, wanataka lita ngapi? Kuna mahali tulialikwa kupeleka kishika uchumba nkashangaa eti na sukari nayo imo...lol wazee wana mahesabu sana wanaangalia nini adimu ndio wanataja hicho, hicho..Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
tatizo likitokea libazazi aambalo sijapanga nalo dili sijui itakuwaje maana hii kitu haishtakiwi popote mmmmh itakuwa soo safari itaanzia chemchem kula ngwara ya ukwelihahahha. . .
Ila angalau na we umeridhia, hutotekwa ukitokea bombani.
Haya unijulishe mwaya nikuletee na zawadi.
Nisaidie basi kumbembeleza mateka wako, manake france yenyewe watapelekwa ya Mafia..lol.
Swahiba wahisha hayo mafuta bana ukizubaa ba mkwe atakwambia ufanye na wayaringi kabisa,..lol:lol::lol:..Nikikukamata wewe
Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
kumuoa liizy ni raisi kuliko mwanammke yeyotembona lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
Eti genereta lao Lizzy ni 50KVA kwahiyo linatumia lita 100 za mafuta huu si uonevu....hao wazee waliwalia timing vizuri maana wanajua kuwa sukari kilo moja ni 3000 halafu kijijini sukari wanatumia mara moja kwa mwaka unafikiri kwanini wasiwawekee na sukariHa ha ha, wanataka lita ngapi? Kuna mahali tulialikwa kupeleka kishika uchumba nkashangaa eti na sukari nayo imo...lol wazee wana mahesabu sana wanaangalia nini adimu ndio wanataja hicho, hicho..
Mbona Lizzy mwenyewe ananigomea...hataki nimuoe eti hadi nipeleke mafuta kwa ajili ya genereta...yaani mgao wa umeme nao umeishaingizwa kwenye mahari pia
Swahiba wahisha hayo mafuta bana ukizubaa ba mkwe atakwambia ufanye na wayaringi kabisa,..lol
Hahahahahaha!! Nyie watu akili zenu maji kabisa...MMU ina vituko kweli..dah nimecheka kweliBasi anakupenda sana kama kaomba mafuta. Kuna mtu hapa aliombwa apeleke Grid ya taifa na megawati.
:lol::lol:..Nikikukamata wewe
hv uku city hzi ndoa hazifai?
tatizo likitokea libazazi aambalo sijapanga nalo dili sijui itakuwaje maana hii kitu haishtakiwi popote mmmmh itakuwa soo safari itaanzia chemchem kula ngwara ya ukweli
Mzee wako kwenye mahari waliweka kipengele kwamba nitafute greda nichonge barabara inayofika hadi kwenu nikafanya hivyo sasa na mafuta tena jamani Lizzy si mniambie tu kama mnataka kufungua sheli ya kuuza dizeli na petroliWe unapenda bure ehhh?
Afu mzee mwenyewe ni mwanajeshi mstaafu lakini hana hata huruma...kabila lake ni mngoni asee, ila tunashukuru ndoa ilifungwa...lol.Eti genereta lao Lizzy ni 50KVA kwahiyo linatumia lita 100 za mafuta huu si uonevu....hao wazee waliwalia timing vizuri maana wanajua kuwa sukari kilo moja ni 3000 halafu kijijini sukari wanatumia mara moja kwa mwaka unafikiri kwanini wasiwawekee na sukari