Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yeah anajitambuaKabisaa yaani...Na anaonekana mkimya hapendi spotlight za mmewe!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah anajitambuaKabisaa yaani...Na anaonekana mkimya hapendi spotlight za mmewe!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ukumbi ulikua pimped balaa, mixer wakacreate baaMake up tunajuaga range ni 250,000/=
Siwapendi wajinga hawa. Ukumbi wenyewe bei zajulikana..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Diamond pekee kamwaga 180M [emoji119][emoji119]View attachment 2018896
How old are you young manUkumbi ulikua pimped balaa, mixer wakacreate baa
I'm a young man. By the way, I made it sound like a rhyme bar.
Locals mmiambiwaga ukweli mmaona ni hate kama vile mmeshikiwa akili. Hayo ya maganikio yanahusiana nn hapa. Mshazoea kuchotwa akilkJealous is HATING AND LOVING AT THE SAME TIME
Wakuu, haijalishi kama hiyo budget in reality haireflect uhalisia but the guy did his thang. Wengi sana tunatamani kufikia levo flan lakini ramani zetu bado hazijakaa sawa. Hivi ni nani hatamani harusi yake angepaa na chops kutua kanisani? Au hata a Chariot kama Elijah alivoenda mbinguni? [emoji2][emoji2]. Platnumz peke yake pale ukumbini kamwaga Randi ambazo ni Tsh.15M worth cash akaandika na check ya 15M plus kiwanja alichomnunulia mwana Cha 2000SQM worth TZS 50M [emoji119][emoji119]. Sherehe ilifana, watu walienjoy na jamaa ameamka na ukwasi mzuri tu. Nilichogundua wabongo wengi tuna ka-syndrome flan against vijana wenzetu ambao wamefanikiwa kwa kiasi fulani maishani. Ukiwaangalia kina Fred ngajiro alias Fred Vunjabei, Frank knows etc tunatamani kuwa kama wao ila narudia, ramani hazijasoma. Regardless of what they do (iwe albadir ya mhindi or whatever), let's learn to appreciate people's success na ile hasira tuiweke kwenye hustle zetu perhaps one day Jah atabless. Ni kama tu vile una washkaji zako mnaishi maisha ya chini mnayofanana halafu ghafla labda wanakuona mwenzao umevuta kausafiri hata ka vitz tu, utashangaa wengine wanaanza kukukataa mara oooh mwana amevuta ndinga ameanza kujiona au tangu amejenga hatusemi badala ya kuzidisha hasira kwenye kutafuta. 180M or not, he did his thing and people enjoyed. Hata mimi nilienjoy live kwenye wasafi tv [emoji23][emoji23]
Sikuwa namjua mpaka nilipoona fujo kila mtu anamtaja na harusi yake. Nikajua ni CEO wa corporate labda ila zile kiki hazikuwa za ki-CEO niliona ni za kicelebrity nikahisi itakuwa kawaida yao kuongeza sifuriIla mke pale kapata mwanamke hana makuu maskin yupo yupo tu
Wamejitahidi
Sawa, harusi ni ya buku tano. I rest my case!Locals mmiambiwaga ukweli mmaona ni hate kama vile mmeshikiwa akili. Hayo ya maganikio yanahusiana nn hapa. Mshazoea kuchotwa akilk
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimecheka had baas,Divaglam kamharibia mwenzie jamani make up za mtu mweupe Kampaka mtu mweusi!
Kaahh!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had kupaliwa uwiiihNyuchi ni zile zile mkuu kama zetu, hamnaga za gold wala tanzanite [emoji23]
Msieeew zake, mbna Davido kashindwa kumpa Mil 5.[emoji23][emoji23]Diamond pekee kamwaga 180M [emoji119][emoji119]View attachment 2018896
Yaelekea we mgeni wa harusi,hapo hakuna cha zawadi wala nin...hiyo michezo ya kuzuga kutoa mizawadi na kuandika micheki mbona ni ya kizamani sana.Jealous is HATING AND LOVING AT THE SAME TIME
Wakuu, haijalishi kama hiyo budget in reality haireflect uhalisia but the guy did his thang. Wengi sana tunatamani kufikia levo flan lakini ramani zetu bado hazijakaa sawa. Hivi ni nani hatamani harusi yake angepaa na chops kutua kanisani? Au hata a Chariot kama Elijah alivoenda mbinguni? [emoji2][emoji2]. Platnumz peke yake pale ukumbini kamwaga Randi ambazo ni Tsh.15M worth cash akaandika na check ya 15M plus kiwanja alichomnunulia mwana Cha 2000SQM worth TZS 50M [emoji119][emoji119]. Sherehe ilifana, watu walienjoy na jamaa ameamka na ukwasi mzuri tu. Nilichogundua wabongo wengi tuna ka-syndrome flan against vijana wenzetu ambao wamefanikiwa kwa kiasi fulani maishani. Ukiwaangalia kina Fred ngajiro alias Fred Vunjabei, Frank knows etc tunatamani kuwa kama wao ila narudia, ramani hazijasoma. Regardless of what they do (iwe albadir ya mhindi or whatever), let's learn to appreciate people's success na ile hasira tuiweke kwenye hustle zetu perhaps one day Jah atabless. Ni kama tu vile una washkaji zako mnaishi maisha ya chini mnayofanana halafu ghafla labda wanakuona mwenzao umevuta kausafiri hata ka vitz tu, utashangaa wengine wanaanza kukukataa mara oooh mwana amevuta ndinga ameanza kujiona au tangu amejenga hatusemi badala ya kuzidisha hasira kwenye kutafuta. 180M or not, he did his thing and people enjoyed. Hata mimi nilienjoy live kwenye wasafi tv [emoji23][emoji23]
Pumzika dogoSawa, harusi ni ya buku tano. I rest my case!
Gharama zote hizo ni kwa ajili ya kubariki ndoa tu ama? Huyo mwanamke si walishaishi wote pamoja hao
Anasa nyingiAnasa tuu🤣🤣😂😂