Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani.

Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa mujibu wa taarifa kabla ya gharama kuongezeka hadi dola milioni 313.3 na hii ni kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Marekani.

Mbona hesabu hazijakaa sawa.
Ilikuwa $300 mil... Ikaongezeka mpaka $313mil (Nyongeza ya $13mil)
Sasa wewe hiyo $400mil umeitoa wapi.
Au ndio madhara ya shule za kata..?
Soma kwenye gazeti la Taiwan kama wamejichanganya ni wao wenyewe.
 
Ningekua US ningenunua stocks kwenye haya makampuni ya silaha maana yanapiga Sana ela kipindi hiki
 
Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani.

Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa mujibu wa taarifa kabla ya gharama kuongezeka hadi dola milioni 313.3 na hii ni kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Marekani.

Himars ni mfumo unaweza kupakia mkombora aina tofauti tafauti nadhani gharama zinaongezeka kutokan na aina za makombora yanayo takiwa
ukraine_defence-20220714-0001.jpg
 
Back
Top Bottom