and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.