Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
150k mpka 200k hizo ni UTI tu bado upo gizani kwenye starehe ya ngono jitahidi dogo ukojolee pazuri sio hayo majalala ya laki na nusu 🤣🤣🤣
 
Huko Dar mnapata tabu sana.. Mie huku Dom nawakulaga wanachuo kwa chipsi na mishikaki ya buku halafu lodge huku mitaani zipo mpaka za buku ten nzuri kabisa ikishindikana naenda kupaki kigari changu kwenye uwazi kama uwanja pale jirani na shule ya msingi hata Jana usiku saa mbili nilienda na demu nikapaki hapo tukafunga vioo nikawasha AC mtoto akaukalia akaizungushia chap nikakitupa then nikamrudisha hostel nikampoza na teni akafurahi
Wewe ulikuwa watatu kwa jana. Na mpaka usiku alikamua 10 ten ten kwa watu saba.

Kalagha bahoo
 
Huko Dar mnapata tabu sana.. Mie huku Dom nawakulaga wanachuo kwa chipsi na mishikaki ya buku halafu lodge huku mitaani zipo mpaka za buku ten nzuri kabisa ikishindikana naenda kupaki kigari changu kwenye uwazi kama uwanja pale jirani na shule ya msingi hata Jana usiku saa mbili nilienda na demu nikapaki hapo tukafunga vioo nikawasha AC mtoto akaukalia akaizungushia chap nikakitupa then nikamrudisha hostel nikampoza na teni akafurahi
gari ndogo hazina ac zina kaupepo kabaridi..... mkuu ac kitu ingine
 
Back
Top Bottom