Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Tuna solve vipi hili swala au tuchukue Sheria mkonon?😁
 
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Izo ni gharama za simps wanaofikiri kudate na mwanamke ni kufanyiwa favor.
 
Huko Dar mnapata tabu sana.. Mie huku Dom nawakulaga wanachuo kwa chipsi na mishikaki ya buku halafu lodge huku mitaani zipo mpaka za buku ten nzuri kabisa ikishindikana naenda kupaki kigari changu kwenye uwazi kama uwanja pale jirani na shule ya msingi hata Jana usiku saa mbili nilienda na demu nikapaki hapo tukafunga vioo nikawasha AC mtoto akaukalia akaizungushia chap nikakitupa then nikamrudisha hostel nikampoza na teni akafurahi
Mnatuchafulia uwanja wetu wa Mazoezi Makulu hapa kwa zinaa zenu msitupe vitendea kazi vyenu hovyo.
 
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Braza umesahau AZUMA na Paracetamol
 
Huko Dar mnapata tabu sana.. Mie huku Dom nawakulaga wanachuo kwa chipsi na mishikaki ya buku halafu lodge huku mitaani zipo mpaka za buku ten nzuri kabisa ikishindikana naenda kupaki kigari changu kwenye uwazi kama uwanja pale jirani na shule ya msingi hata Jana usiku saa mbili nilienda na demu nikapaki hapo tukafunga vioo nikawasha AC mtoto akaukalia akaizungushia chap nikakitupa then nikamrudisha hostel nikampoza na teni akafurahi
Kumbe mkuu unakula pisi zetu za udom na ist yako,kisa unawapa ten na ac ya Bure,ndo maana kila nikimpigia huyu mdada anasema Leo kashinda chuo,kumbe anagawa tunda kwa wana
 
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
150,000/= mifuko mingapi ya saruji?
Mama yako ukimpa hata 20,000/= bila ya kutolea anafurahi na kukubariki.
 
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Bei juu
 
Back
Top Bottom