😅Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
Na Wiki hii nimetumia 350,000/- aisee ni hatari, ukiona mtu kajenga ujue kakwepa mengi.Ukishakojoa ndo majuto yanaanza
Ukimaanisha wapiga punyeto?Kumbe ndo maana wapiga puuu wana maisha makubwa
Uzinzi? Mwanangu hiyo ni mifuko ya saruji unatumia kupiga mbao tatu za 30 second each.Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.