Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Sina hamu, juzi nimechoma laki150,
Mnajitakia huku goms Motel 20-25 anakuja na boda au Daladala kula msosi buku 5 mwenyewe anatoka na 15.Hata hivyo Haya ni matumizi ya maumivu sana Tena siku hiyo umeuza mzigo wako wa Machungwa pale Buguruni unataka vuta mvaa dela au kijora mmoja.Wakulialia Kuna za sh elf 5 na buku 10 (hapa akikisha amekula kwao) ya kuondoka nayo.Daresalaam maisha unayaamua mwenyewe uende nayo vipi.
 
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,

1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.

NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.

Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
dronedrake
 
Screenshot_20240817-172425.png
 
Back
Top Bottom