Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

nilipeleka zawadi ya 30k
Vinywaji ilikuwa 20k
Usafiri ulikuwa wa
Geto langu 😁
Ya kuondoka nayo 15k
Nauli kurudi kwao 5k

Ni kama nimechakaza robo ya mshahara wangu khaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
nyege zianze kujiheshimu
 
Njoo ambiance hapa ubakize pesa ya kutumia bibi zako kijijini
 
Low end product hii.. ukigusa High end, unajishika na kichwa baada ya kuachana nae
 
Gharama za kabla ya kupaa zilikuwaje? Ni inflation au watoa burudani wamepandisha tu bei at the same CPI?
 
Bei juu kwenye Arusha Land Rover festival
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…