Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ambiance hapa ubakize pesa ya kutumia bibi zako kijijiniWakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Low end product hii.. ukigusa High end, unajishika na kichwa baada ya kuachana naeWakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Lodge ya 15k kwa kufanya mapenzi hainogi, ila kama kuchuja nafaka poa..Bajeti ya 50k
Lodge 15k
Chakula na vinywaji 15k
Uchakavu 15k
nauli yangu ya kurudia kwenye Normal default 5k
Gharama za kabla ya kupaa zilikuwaje? Ni inflation au watoa burudani wamepandisha tu bei at the same CPI?Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii Mambo ya Kujenga sahau.
Binafsi ijumaa na jumamosi ndo siku ya 'kujiburudisha' lodge/hotel za Manzese tiptop.
Sio Dar mkuu ni mkoani. Lodge ya 15k imekaa unyama sana. Ndani kuna feni, maji safi yani unyama wote ndani.Lodge ya 15k kwa kufanya mapenzi hainogi, ila kama kuchuja nafaka poa..
Kama mikoani unyamaa sanaSio Dar mkuu ni mkoani. Lodge ya 15k imekaa unyama sana. Ndani kuna feni, maji safi yani unyama wote ndani.
Mkoani zipo lodge za elfu 5, zina fence, nzuri, zingekuwa dar ingekuwa ni elfu 20.Sio Dar mkuu ni mkoani. Lodge ya 15k imekaa unyama sana. Ndani kuna feni, maji safi yani unyama wote ndani.
Fensi ya nini mkuu?Mkoani zipo lodge za elfu 5, zina fence, nzuri, zingekuwa dar ingekuwa ni elfu 20.
Fensi inayozunguka lodgeFensi ya nini mkuu?
Low end product hii.. ukigusa High end, unajishika na kichwa baada ya kuachana nae
Mkoani Lodge nyingi ni 15k mpaka 20k na ni classic sana.... Mimi huwa napendelea maeneo tulivu sana so unakuta bei ni 30k mpaka 40k hvSio Dar mkuu ni mkoani. Lodge ya 15k imekaa unyama sana. Ndani kuna feni, maji safi yani unyama wote ndani.