KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kuna kipindi unaletewa bure kabisa Tena nyumbani kwako.
Kama tulivyo fuatwa nyumbani kuandikisha kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa.
unapewa bure iliikutese, yaani.
 
Kuna mtu alipewa rufaa mloganzila akakaa masaa kadhaa akafariki, walikuja kuzuia maiti mpk bill ya dawa alizotumia mgonjwa 2M ilipwe. Dawa zenyewe aliandikiwa ila hazikutumiwa ndipo mgonjwa akafariki. Hii nchi ukishakuwa maskini ni mateso tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…