KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
What a word .
 
Endeleeeni kufyatua huduma ni bure....ccm mbere kwa mbere
 
We naye umechanganyikiwa unalinganisha States na Tanzania?
 
Kama NHIF tu muongozo wao kujifungua siyo gharama hiyo hao wa serikali walitoa wapi muongozo?

Miongozo hurukwa endapo huduma inayotolewa haipo kwenye level ya muongozo. Mfano unahitaji fast track services na services za grade A.

Room ya peke yako, room ina friji, TV nesi wa kudeal na mgonjwa 24/7
 
Hii story yako ya uongo, imejaa kujimwambafai

Pili unasema kujifungua bongo ni gharama ndogo kuliko USA, kwa hiyo kwa akili yako ulijua bongo gharama zinaweza kuwa kubwa kuliko USA? Umetumia makamasi kufikiria
 
Mkuu kwa Hiyo ni sahihi kwa hizo gharama? pato la mwananchi kwa mwaka ni kiasi gani? je wananchi wanaweza Kumudu hizo Gharama?
 
asee
 
Huenda gharama sio kubwa.

lkn ni muhimu mambo yaende kwa uwazi, sio majukwaani tunaambiwa kujifungua hospital za serikali ni bure, baada ya kutiana mimba na kwenda Mloganzila ndo unakutana na bili ya 2M unaweza kikuta unapees hapo hapo
Ni kweli kabisa maana hzo sera za afya za kutudanganya mama mjamzito anajifungua Bure wanapewa hela huko nje wanaenda kuzitumia Kuhonga wasanii wawasifie
 
Hongera sana, ila muhimbili ukienda kwa refferal ni nafuu mpenzi, sasa sijui ww uliendaje hapo, refferal kutokea dc hospital mfano amana, mwananyamala, temeke na kigamboni unaenda moja kwa moja muhimbili km public petient, ukienda kama private hela ni nyingi sana unless uwe na Bima mpenzi
 
walienda kwa Rufaa pia.
 
Una uhakika ulipewa rufaa kituo cha afya kwenda hospitali ya taifa? Maana hakuna referral system ya aina hiyo, na kama ulijipeleka mwenyewe sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…