Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukipewa rufaa unajiamulia uende hosptali gani?Watu wanakuelewesha hatua za kupata rufaa wewe unabisha,kuna ngazi ilirukwa hapo.
Basi tafuta helaMkuu kwamba Mimi sina akili au sijui hata nilipoenda? ndio maana nimesema Docs zote ninazo za kuanzia Hospitali ya Chini, Rufaa hadi mloganzila. Receipt zote pia mimi sio mjinga mkuu.
Kuchangiwa na ukoo ni fedhea.mgonjwa akishafikishwa Hospitali watu wanachanga Mkuu. Ukoo mzima wanachanga wanamtoa mtu wao. Ila wanaojifungulia Hospitali nyingine sio gharama kubwa hivyo hiyo ni ya mloganzila
Ila wew kweli una shida sehemu, hasa kwenye ubongo, waweza kuta una undugu na BashiteMtoto wangu wa kwanza wa kike alijifungua nilitumia million 5, ilikuwa kama movie.
Hospital nilikupa 2 million private, mtoto alikuwa amekaa vibaya mno na pia kajifunga na umblical cord.
Madaktari waliangaika 4 hours kuweka sawa afya ya mama kabla hawajamfungulisha. Anesthesia alidai sijui presha imecanyaje akifanyi2a operation lazima mama aende
Nilitoka fasta baada ya kupewa akili, kumtafuta dokta bingwa gyno, naye alitaka 2.5 million ili atoke kwenye kazi yake. Analipwa kwa saa
Niliona bora nimpe tu hapo sijui kama mtoto ama mama atapona. Gyno na wenzake walifanya juhudi, operation ilikuja fanyika ndani kuna madaktari saba, gyno wawili, manesi na anesthesiologist, acha tu
Naambiwa mkeo kajifungua mtoto wa kike kwa kisu, nililia kama fala. Huwa silii na sijawahi lia hata msibani, siku anayokufa bibi kwanz usiku wake nilikul mzigo, yan kifup hata misib ikitokea nakula mzig. Inawezekana nina shida sehemu kwan hata majonzi haya yanaendelea nchin bado siku zote hizi nimekul mzigo, niombeen nina shida sehemu, thanks
Nisitoke nje ya mada, mtoto alizaliw, nilitumia gharama nyingine hapo kati. Sasa nina binti mtundu sana, mke wangu yuko salama mishono tu huwa inamuuma
Hii kulalamika ni kwa sababu hatuna hela. Gharama za kuzalisha tanzania ni nafuu compared to states. Serikaii ibireshe na indelee kupunguza jwa kulipia asilimia kubwa zaidi
Tutafute hela ndugu zangu, umaskini mbaya sana
Mloganzila Wana huduma nzuri mno,muhimu uwe na bima Tu!
Kama huna bima lazima mchozi ukutoke ukipokea bill yako!
Hospital za wilaya kama amana au mnazi mmoja bei ni nafuu sana. Ukipelekwa rufaa ndio gharama kubwa.Mh? Mbona wanawawe choka mbaya mitaani kutoka familia tiamajitiamaji naona wanajifungulia hospitali za serikali? Wanawezaje kumudu hizo gharama au kuna jinsi nyingine?
Nadhani hapo ndipo wengi walipaswa kuhoji, alienda kama mgonjwa wa private au public?.Hongera sana, ila muhimbili ukienda kwa refferal ni nafuu mpenzi, sasa sijui ww uliendaje hapo, refferal kutokea dc hospital mfano amana, mwananyamala, temeke na kigamboni unaenda moja kwa moja muhimbili km public petient, ukienda kama private hela ni nyingi sana unless uwe na Bima mpenzi
Hawa watakuwa waliruka stage. Ukitoka HC unatakiwa kwenda hospital za wilaya then ikishindikana MuhimbiliNo alitolewa Kimara HC
ENdeleeni kushabikia CCM tu, endeeleniWakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua.
Kitu ambacho Nimeona Gharama za pale ni kubwa sana ni kama Hospitali za Watu Binafsi au Taasisi za Dini n.k
Wakati anapokelewa Pale Emergence nilitakiwa Kulipia Laki moja Fedha Taslimu ambayo wanaita ni ya Accomadation na haina maelezo mengine tena unapewa Control number ulipie ndio aanze Kuhudumiwa.
Baada ya Hapo alijifungua salama watoto wawili Mapacha alikaa siku ya Ijumaa hadi Jumatatu yaani Siku tatu Tu nikapewa Bill ya 1.35 yaani (Milioni moja laki tatu na elfu thelathini na tano) Nikasita kulipa nikaenda kwa wahasibu Kugombana nao Kidogo nikitaka Ufafanuzi japo Ilishindikana.
Baadae niliuliza Nikaambiwa Ghrama ya Kulala kwa Siku ni 50,000 lakini gharama ya Kujifungua ni 750,000. Niliambiwa Hiyo ssera ya mama wajawazito wanajifungua Bure haipo ni Siasa na Propaganda Tu.
Nilipambana nikalipia kiasi nikatoka.
Lakini kwa Kifupi Gharama Za Hospitali ya Mloganzila Ni kufuru kule ndani nilikuta akina mama waliojifungua wana Daiwa Wengine Millioni tatu, tano na kuendelea wameshikiliwa wake pale hadi fedha ipatikane.
Kwa kweli jambo hili linaumiza sana watanzania wa hali ya Chini ambao Kimsingi wanaamini Hospitali za Umma zinazoendeshwa naKupata Ruzuku kutoka serikalini ambayo ni kodi za wananchi gharama zake ziwe rafiki ili kila mwananchi aweze Kumudu ila imekuwa ni Tofauti.
Soma Pia:Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza
WIZARA YA Afya Aid Inatakiwa ilitazame hili na wawaweke wananchi wazi kwamba ile ni Hospitali ya Kulipia .
Ushahidi wa Nyaraka zote nianzo Mods musifute mukitaka ushahidi wa Receipt na Bill nitawapa
Duuu aiseeBima ya Afya ulikuwa nayo?
Kwaiyo tushabikie saccos ya chadema?ENdeleeni kushabikia CCM tu, endeeleni
inatafakarisha sana,Dah, hatari sana
Na hiyo ndiyo kazi wanayofanya ma CHAWA kudanganya wadau humu daily kuwa wanyonge wamefiikiwa, na blah blah nyingi...
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Mh? Mbona wanawawe choka mbaya mitaani kutoka familia tiamajitiamaji naona wanajifungulia hospitali za serikali? Wanawezaje kumudu hizo gharama au kuna jinsi nyingine?