Tanganyika Mpya
Senior Member
- May 3, 2024
- 170
- 375
Huko nje Kuna Maduka ya bima piaukiwa na bima Unapewa Huduma ila dawa zote utaandikiwa ukanunue nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko nje Kuna Maduka ya bima piaukiwa na bima Unapewa Huduma ila dawa zote utaandikiwa ukanunue nje
Kama ni hivyo basi wanaotoa rufaa kuna uwezekano mkubwa kuwa ni wala rushwa.Angetoka kwenye hospital ya mkoa rafiki yangu ungelipa gharama nafuu, kimara HC angeenda ngazi inayofuata hata kwa kuandikiwa tuuu tena huko ipo Hospital ya Kimkoa Ubungo, kuna ngazi za refferal rafk ndio maana wamekugonga hela ndefu. Ila mshukuru Mungu umepata watoto safi na Mungu aendelee kuwatunza na kuwapa afya njema na hekima ndani yake
yaani nilipe hospitali ya umma laki saba mke wangu kujifungua, kwa kipi? hata private hawapo hivyo.Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua.
Kitu ambacho Nimeona Gharama za pale ni kubwa sana ni kama Hospitali za Watu Binafsi au Taasisi za Dini n.k
Wakati anapokelewa Pale Emergence nilitakiwa Kulipia Laki moja Fedha Taslimu ambayo wanaita ni ya Accomadation na haina maelezo mengine tena unapewa Control number ulipie ndio aanze Kuhudumiwa.
Baada ya Hapo alijifungua salama watoto wawili Mapacha alikaa siku ya Ijumaa hadi Jumatatu yaani Siku tatu Tu nikapewa Bill ya 1.35 yaani (Milioni moja laki tatu na elfu thelathini na tano) Nikasita kulipa nikaenda kwa wahasibu Kugombana nao Kidogo nikitaka Ufafanuzi japo Ilishindikana.
Baadae niliuliza Nikaambiwa Ghrama ya Kulala kwa Siku ni 50,000 lakini gharama ya Kujifungua ni 750,000. Niliambiwa Hiyo ssera ya mama wajawazito wanajifungua Bure haipo ni Siasa na Propaganda Tu.
Nilipambana nikalipia kiasi nikatoka.
Lakini kwa Kifupi Gharama Za Hospitali ya Mloganzila Ni kufuru kule ndani nilikuta akina mama waliojifungua wana Daiwa Wengine Millioni tatu, tano na kuendelea wameshikiliwa wake pale hadi fedha ipatikane.
Kwa kweli jambo hili linaumiza sana watanzania wa hali ya Chini ambao Kimsingi wanaamini Hospitali za Umma zinazoendeshwa naKupata Ruzuku kutoka serikalini ambayo ni kodi za wananchi gharama zake ziwe rafiki ili kila mwananchi aweze Kumudu ila imekuwa ni Tofauti.
Soma Pia:Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza
WIZARA YA Afya Aid Inatakiwa ilitazame hili na wawaweke wananchi wazi kwamba ile ni Hospitali ya Kulipia .
Ushahidi wa Nyaraka zote nianzo Mods musifute mukitaka ushahidi wa Receipt na Bill nitawapa
Hospitali za serikari wanasema mambo ya uzazi autumii bimaMkuu
Sio kweli. Wengi tuna bima na maisha yanaendelea. Ungejibu kwamba huna bima
Umepigwa parefu sana hapo kujifungua hospital za serikali ni bure kabisa ,sio za serikali tu hata zenye ubia na serikali.Utalipia kitanda,au kama kuna upasuaji mkubwa au mdogo,pia kama kuna chakulaWakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua.
Kitu ambacho Nimeona Gharama za pale ni kubwa sana ni kama Hospitali za Watu Binafsi au Taasisi za Dini n.k
Wakati anapokelewa Pale Emergence nilitakiwa Kulipia Laki moja Fedha Taslimu ambayo wanaita ni ya Accomadation na haina maelezo mengine tena unapewa Control number ulipie ndio aanze Kuhudumiwa.
Baada ya Hapo alijifungua salama watoto wawili Mapacha alikaa siku ya Ijumaa hadi Jumatatu yaani Siku tatu Tu nikapewa Bill ya 1.35 yaani (Milioni moja laki tatu na elfu thelathini na tano) Nikasita kulipa nikaenda kwa wahasibu Kugombana nao Kidogo nikitaka Ufafanuzi japo Ilishindikana.
Baadae niliuliza Nikaambiwa Ghrama ya Kulala kwa Siku ni 50,000 lakini gharama ya Kujifungua ni 750,000. Niliambiwa Hiyo ssera ya mama wajawazito wanajifungua Bure haipo ni Siasa na Propaganda Tu.
Nilipambana nikalipia kiasi nikatoka.
Lakini kwa Kifupi Gharama Za Hospitali ya Mloganzila Ni kufuru kule ndani nilikuta akina mama waliojifungua wana Daiwa Wengine Millioni tatu, tano na kuendelea wameshikiliwa wake pale hadi fedha ipatikane.
Kwa kweli jambo hili linaumiza sana watanzania wa hali ya Chini ambao Kimsingi wanaamini Hospitali za Umma zinazoendeshwa naKupata Ruzuku kutoka serikalini ambayo ni kodi za wananchi gharama zake ziwe rafiki ili kila mwananchi aweze Kumudu ila imekuwa ni Tofauti.
Soma Pia:Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza
WIZARA YA Afya Aid Inatakiwa ilitazame hili na wawaweke wananchi wazi kwamba ile ni Hospitali ya Kulipia .
Ushahidi wa Nyaraka zote nianzo Mods musifute mukitaka ushahidi wa Receipt na Bill nitawapa
Ngojea waje matajiri wa Jf kukupinga wakati wewe ndio uliyeenda huko,watakuambia unaongopa,mara hakuna cha bureeWakuu Kwema? Bila shaka muko salama.

Kuandika hujui, mbwembwe kibaoMtoto wangu wa kwanza wa kike alijifungua nilitumia million 5, ilikuwa kama movie.
Hospital nilikupa 2 million private, mtoto alikuwa amekaa vibaya mno na pia kajifunga na umblical cord.
Madaktari waliangaika 4 hours kuweka sawa afya ya mama kabla hawajamfungulisha. Anesthesia alidai sijui presha imecanyaje akifanyi2a operation lazima mama aende
Nilitoka fasta baada ya kupewa akili, kumtafuta dokta bingwa gyno, naye alitaka 2.5 million ili atoke kwenye kazi yake. Analipwa kwa saa
Niliona bora nimpe tu hapo sijui kama mtoto ama mama atapona. Gyno na wenzake walifanya juhudi, operation ilikuja fanyika ndani kuna madaktari saba, gyno wawili, manesi na anesthesiologist, acha tu
Naambiwa mkeo kajifungua mtoto wa kike kwa kisu, nililia kama fala. Huwa silii na sijawahi lia hata msibani, siku anayokufa bibi kwanz usiku wake nilikul mzigo, yan kifup hata misib ikitokea nakula mzig. Inawezekana nina shida sehemu kwan hata majonzi haya yanaendelea nchin bado siku zote hizi nimekul mzigo, niombeen nina shida sehemu, thanks
Nisitoke nje ya mada, mtoto alizaliw, nilitumia gharama nyingine hapo kati. Sasa nina binti mtundu sana, mke wangu yuko salama mishono tu huwa inamuuma
Hii kulalamika ni kwa sababu hatuna hela. Gharama za kuzalisha tanzania ni nafuu compared to states. Serikaii ibireshe na indelee kupunguza jwa kulipia asilimia kubwa zaidi
Tutafute hela ndugu zangu, umaskini mbaya sana
Achana na matahila ya hapa JF mkuu, wala usiweke hizo Docs hapa, pia watasema ni FakeMkuu kwamba Mimi sina akili au sijui hata nilipoenda? ndio maana nimesema Docs zote ninazo za kuanzia Hospitali ya Chini, Rufaa hadi mloganzila. Receipt zote pia mimi sio mjinga mkuu.
Dogo,inatafakarisha sana,
watu wengi wanaweka kipaumbele kwenye maisha yao ni kumiliki iphone au simu nyingine ya gharama, huku afya wakiona si jambo muhimu kabisa 🤣
ankiugua sasa,
anakwenda hospital anasmarphone 3 mkononi, akiambiwa lipia elfu3 hapa halafu nenda maambara, utaskia ngoja kwanza nikatoe pesa, na ndiyo anatokomea kusikojulikana. Atarudi tena maradhi yatakapokua yamemuathiri zaidi.
Tuipe afya uzito na umuhimu unao stahili nadhani kuliko kitu kingine chochote. Kula bata mpaka asubuh sio gharama, ila afya ndiyo gharama.🤣
hili si tatizo la Afya ya akili sasa?🐒
Gentleman,Dogo,
Wacha propaganda basi.
Unaambiwa mle ndani ya hospital kuna wamama walishajifungua tayari lakini hawawezi kutoka kurudi makwao, wameshikiliwa hadi walipe Tsh 5m, 7m+, ambazo hawana. Una hakika wanamiliki hizo simu unazosema?!
SawaKuandika hujui, mbwembwe kibao
Inawezekana...Ila wew kweli una shida sehemu, hasa kwenye ubongo, waweza kuta una undugu na Bashite
Wewe mwerevu umeelewa hivyo...hukuhojiMjinga mmoja mwenye majivuno, unalinganisha uchumi wa TZ na state unamaana gani?
Jina lenyew ushasema hospitali ya taifaWakuu Kwema? Bila shaka muko salama.