Hata chakula ni sumu na ni kifo.. Kumiliki helicopter ni gharama ni usumbufu mwingi na ni kifo mlangoniVipi kumiliki gari sio kifo? Magari yamekuwa yakigongwa/kugonga na kusababisha vifo. Halafu kuna zile helkopta zenye matairi kama zile black cobra za marekani zenyewe mbona ni nzuri hazina kelele kama hizi chopper. Kuna tajiri mmoja muuza pombe kali huko manyara kanunua helkopta aina ya chopper, ina maana anamiliki kifo?
Sina wivu na pesa zake kapambana sana mwana! Na hii mada haina uhusianoMhhh.... mshana huwa nakukubali lakini hii mbona ni kama hate speech kwa bil Mulokozi?
Acha watu watumie pesa mkuu, wamezitafuta kwa shida. Halafu kumbuka ni pesa za kuuza pombe hivo usijali sana
Mkuu naomba ufafanuzi hapo. Kuna shida gani ukimiliki?Kingine ni kumiliki bastola!
Weee mi nimesoma kichwa cha barua nimestuka sana ๐๐๐๐kaka anazeeka kwaiyo twende naye tu taratibu taratibu.
Helicopter kambi popote hata juu ya jiwe poa tuNi mwakani tu hapo nakua bilionea ila hata mimi kwenye mipango yangu hizo helicopter hazipo kwenye hesabu zangu.
Sionagi raha yake, ni kama upo vitani vile. Labda mwamba ana vikao na shughuli maeneo mbalimbali ya nchi hivyo anahitaji kuwahi ndio maana kanunua.
Wakijenga viwanja maeneo mengi basi nitafikiria kununua ndege binafsi ya abiria.
Sidhani.Kadata!
๐๐๐๐๐Kadata!
Wamiliki wengi wana mafunzo ya maramoja tu tena kwa ajili ya kupata nyaraka na katika maisha hao ni mara chache mno hutumia..Mkuu naomba ufafanuzi hapo. Kuna shida gani ukimiliki?
Umeniangusha sana kuwa na maono mafupi kimo cha mbilikimoBw. Mshana unaniangusha,
Ni lini umeanza tabia ya kuzipangia matumizi, pesa za wanaume wenzako?
Wee mbona unakaanga maini Yako mwnyw Kwa pombe Kali na hatusemi?
Hivi Ni nani ana hati miliki ya kifo CHAKE?
Pole sn mkuu,Umeniangusha sana kuwa na maono mafupi kimo cha mbilikimo
Ana shida from day oneMshana bana huwa na sapport sana mambo yako ila sasa naona sasa hvi kama una shida hivi mkuu.....
Ana umbogambogaBw. Mshana unaniangusha,
Ni lini umeanza tabia ya kuzipangia matumizi, pesa za wanaume wenzako?
Wee mbona unakaanga maini Yako mwnyw Kwa pombe Kali na hatusemi?
Hivi Ni nani ana hati miliki ya kifo CHAKE?
Wewe leo ndo nimejua kwanini kule jukwaa la siasa walikufukuza ๐๐๐Ana shida from day one
Sema mlikua mnakubaliana kwenye uchadema