Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #21
Hata chakula ni sumu na ni kifo.. Kumiliki helicopter ni gharama ni usumbufu mwingi na ni kifo mlangoniVipi kumiliki gari sio kifo? Magari yamekuwa yakigongwa/kugonga na kusababisha vifo. Halafu kuna zile helkopta zenye matairi kama zile black cobra za marekani zenyewe mbona ni nzuri hazina kelele kama hizi chopper. Kuna tajiri mmoja muuza pombe kali huko manyara kanunua helkopta aina ya chopper, ina maana anamiliki kifo?