Gharama za kumiliki kifo

Gharama za kumiliki kifo

Vipi kumiliki gari sio kifo? Magari yamekuwa yakigongwa/kugonga na kusababisha vifo. Halafu kuna zile helkopta zenye matairi kama zile black cobra za marekani zenyewe mbona ni nzuri hazina kelele kama hizi chopper. Kuna tajiri mmoja muuza pombe kali huko manyara kanunua helkopta aina ya chopper, ina maana anamiliki kifo?
Hata chakula ni sumu na ni kifo.. Kumiliki helicopter ni gharama ni usumbufu mwingi na ni kifo mlangoni
 
Mhhh.... mshana huwa nakukubali lakini hii mbona ni kama hate speech kwa bil Mulokozi?

Acha watu watumie pesa mkuu, wamezitafuta kwa shida. Halafu kumbuka ni pesa za kuuza pombe hivo usijali sana
Sina wivu na pesa zake kapambana sana mwana! Na hii mada haina uhusiano
 
FB_IMG_1734768523938.jpg
 
Ni mwakani tu hapo nakua bilionea ila hata mimi kwenye mipango yangu hizo helicopter hazipo kwenye hesabu zangu.
Sionagi raha yake, ni kama upo vitani vile. Labda mwamba ana vikao na shughuli maeneo mbalimbali ya nchi hivyo anahitaji kuwahi ndio maana kanunua.

Wakijenga viwanja maeneo mengi basi nitafikiria kununua ndege binafsi ya abiria.
Helicopter kambi popote hata juu ya jiwe poa tu
 
Mkuu naomba ufafanuzi hapo. Kuna shida gani ukimiliki?
Wamiliki wengi wana mafunzo ya maramoja tu tena kwa ajili ya kupata nyaraka na katika maisha hao ni mara chache mno hutumia..
Wanaokuja kukuvamia ni wazoefu na hutumia kila wakati..
 
Bw. Mshana unaniangusha,

Ni lini umeanza tabia ya kuzipangia matumizi, pesa za wanaume wenzako?

Wee mbona unakaanga maini Yako mwnyw Kwa pombe Kali na hatusemi?

Hivi Ni nani ana hati miliki ya kifo CHAKE?
 
Bw. Mshana unaniangusha,

Ni lini umeanza tabia ya kuzipangia matumizi, pesa za wanaume wenzako?

Wee mbona unakaanga maini Yako mwnyw Kwa pombe Kali na hatusemi?

Hivi Ni nani ana hati miliki ya kifo CHAKE?
Umeniangusha sana kuwa na maono mafupi kimo cha mbilikimo
 
Pole sn mkuu,
Ila unapaswa kujua "kifo Ni kifo" TU
kifo hakina formula, siku ikifika TU, Hata mwiba wa samaki unakuua.
Ni kweli kabisa lakini si vema kujijengea mazingira yake kwa gharama kubwa🥺🙇🏿‍♂
 
Back
Top Bottom