Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Dah!! laha haullah wallakwata
Ndugu yangu pole sana halafu hiyo ni neema
 
Sijawahi kutana na taahira km wewe na uzee wangu wote huu, Mungu akusaidie japo upate akili ya kutambua zuri na baya. F...ck...uuuuuu....
 
Unaweza ondoka wewe ukamwacha father A.K.A babu akawa Bado anatumia oxygen ya mungu . Mshukuru mungu kwa yote
 
Anayeuguza huwa anajipa moyo kuwa atapona
 

Hii roho y’a kichawi kabisa, wewe unajua neema ya kuwa na baba kweli?
 
Wewe jamaa ni mpuuzi kweli kweli

Huyo baba yako, wewe, mimi na sote sisi ni maiti watarajowa

Cha kwanza kabisa kuwa na thamani ni mtu na si pesa na si kingine

Yani kwa akili zako dingi yako angejua mapema ww n mtu wa dizaini hii ni bora bao lake angelimwagia nje tu yakaisha
 
Jiulizeni hadi hapo mlipo mlijilea wenyewe? Mlijisomesha na kujitia toka mupo watoto? Kama jibu alifanya yeye vyote, sasa jiulizeni alimudu vipi watoto watatu hadi mpo wakubwa hivyo.

Hiyo dhambi mtakuja kuilipa kama mna watoto
 
Mambo mengine yafiche moyoni tu, maana unajiaibisha tu unamuanikaje mzazi wako hadharani hivi
Na yeye ni mzazi eti anashindwa kujua uzee ni wa kila mmoja labda umauti uje mapema, alichomfanyia mzazi wake leo ndiyo watoto wake watamfanyia. Kama alidhalilisha basi atadhalilishwa vilevile, hiyo dhambi atailipia kinamna yeyote ile.

Kuna watu wanatamani hata waisikie sauti ya baba yao, ila Mungu kawahi kuwachukua. Yeye ambaye anaye anaona karaha.
 
Haya maisha ni fumbo kubwa unaweza kufa ukamuacha huyo mzee wako na uhai wake huo huo unaoona ni tia maji
Unajifanya mtabe wa theory, kumbe empty bin!

Mie siwezi kuuguza mzee wa miaka 90+ mpaka nikafilisika... Bora afe apumzike.
 
Jiulizeni hadi hapo mlipo mlijilea wenyewe? Mlijisomesha na kujitia toka mupo watoto? Kama jibu alifanya yeye vyote, sasa jiulizeni alimudu vipi watoto watatu hadi mpo wakubwa hivyo.

Hiyo dhambi mtakuja kuilipa kama mna watoto
Acha kujifanya mtabe wa vishazi.

Mzee wa miaka 90+ hata akipona ana faida gani, atazalisha nini duniani?
 

Huo ndiyo msalaba wako, kumbuka bila yeye usingekuweoo hapa duniani ukianika utumbo kama huu! Hebu firia wewe sasa hivi ungekuwa ni yeye na kuna watu wanatamani ufe. Sijui ungejisikiaje!
 

Achana na mambo ya imani za dini, wewe umeenda kwenye hoja inatosha! Tukianza kuleta mambo ya dini hapa kila mmoja lazima asifie imani yake kama alivyoipata kwa mapokeo! Kwani babu wa babu wa babu yako alikuwa na dini? Si alikuwa anaishi porini kama ndezi tu!
 
Angeyasikia haya maneno nina hakika angekufa leo leo...

Huna ustaarabu hata kdg

Usisahau na wewe ni mzee mtarajiwa

Ni kweli kabisa maana uzee haupigi hodi! Halafu akifariki basi watajifanya wana uchungu, kumbe walikuwa wanatamani hata wampe sumu ili aondoke haraka!
 

Hilo swali umejijibu mwenyewe kwa upumbavu wako! Kwanza hukuwa na haja ya kuleta upuuzi wako humu maana umejidhalilisha sana!
 
Suppose wewe ungekuwa yeye, ungefanyaje? Na wewe waelekea huko siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…