Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Ww mbwa hapo umeongea kisomi gani.???? We unaona mazuri hayo uliyo andika kuhusu mzazi.???? Hivi ww huyo ni baba yako kweli unaongea maneno ya kifedhuli kiasi hiki.mshenzi mkubwa wewe.sasa baba yako akishakufa ndio utapata nafuu unadhani.?? Kwann usiwe na subra ?? Uzee ni kitu kisichokwepeka

Mtunze mzee acha roho mbaya.alafu mauti wala hayachagui umri au mgonjwa.usishangae akaondo mzima na mgonjwa akapeta
 
Mwanzoni nilidhani anazungumzia chama cha TANU and later CCM. Nimekuwa confused.
 
Unadhani mleta mada ni Muislamu?. Ile reply ya mwanzo tu aliyoielekeza kwa Akhi ukiisoma kwa umakini utajua na huenda hata hii mada yenyewe wala sio tukio la kweli anatafuta attention za watu tu humu.
 
Humu bhana watu wanajifanya watakatifu kuuguza ni bonge la changamoto na hasa kwa upande wetu sisi ambao vipato vyetu havieleweki unauguza mpaka akili inaacha kufanya kazi huelewi lipi baya lipi zuri halafu ukute asset zote umeuza madeni mengi kazi au biashara imekufa hwe acha tu
 
Jamani nikwamba ilikuaje hadi kuwaza ujinga huu?kua mmuwekee sumu mzazi kisa anawasumbua?Mungu aturehemu maana unaweza zaa ukijua umepata wakukutunza siku nguvu zimekuishia kumbe anawaza kukupa sumu hivi mnajua ilivyokazi kulea mimba hadi kitoto kilivyokidogo kijitambue?

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Akifariki ipo siku utamkumbuka, utalia Sana na kujuta pindi utakapo soma. huu Uzi wako
 
Pole Sana mkuu kwa kuuguza mzee omba kibali Cha poison if possible in Tz utulie
 
Wewe unatatizo haki,nahisi bora usingezaliwa,una roho mbaya sana kwa kweli,chakula kitu gani
 
Chizi anataka kufanya maarifa ampeleke baba yake sayuni
 
Chizimaarifaaà upo wapi Usha mshusha
MSHUA?
Weka tatizo la mzee tukusaidie Acha mawazo ya kiwenda wazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…