dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Bible ya mwamposa!Hiyo dua iko kwenye kitabu gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bible ya mwamposa!Hiyo dua iko kwenye kitabu gan
Na mama yako aliebaki hai anajua kuwa una element za kike?He is a master siku 1 utaelewa hii risala yangu Mungu atakapomchukua mshua.
Mijitu minafiki hii.Wabongo wanakusaidia kwa maneno tu [emoji38][emoji1787][emoji1787],hao maparoko na masheikh ndio majanga watajifanya kukupa mistari ila pesa ni hapana.
Wanajidai wana ogopa laana,mbona Magufuli walikua wanamuombea kifo hawakudai ni laana,watu ni wanafiki walio kubuhu.
Hata akisurvive, hawezi katisha miaka 10+ lazima atakufa.
Una maana wale wote unaowaona na kuwafahamu wanauguza na kiulea wazee wao na kuwajengea mpaka sehemu nzuri za kwenda uani ili wasipate shida na kuwatunza kwa kila kitu ni WAISLAM TUU???Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa heshima
Hii ni Qur'an inatuamrisha haya
Kumbuka wewe ulivokuwa mtoto huenda ulikuwa msumbufu sana ila wazazi wako walikuvumilia iweje leo wewe huwezi kumvumilia mzazi wako?
Yawezekana angekuwa tajiri mkubwa tu lakini alisacrifice akakulea wewe kwa pesa zake leo hii iweje yeye ndio sababu ya wewe kupatikana lakini unamdhalilisha kiasi hiki.
Najivunia kuwa Muislamu kwani Uislamu umetufunza yote haya.
Fikiria hapo ndo bangi haijaruhusiwa kuuzwa madukani. Je ikiruhusiwa taifa na wazazi wataingia hasara kiasi gani kwa watu wa aina hii ya mleta mada!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nitarudi baadae.....!!!
Nashindwa kukupa ushauri sababu naona maneno makali sana kwenye maelezo yako kama vile tumamuanika juani kama mjusi, tunamuona kama chuma ulete,ksms gari la mkaaKuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.
Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?
Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.
Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
Una maana wale wote unaowaona na kuwafahamu wanauguza na kiulea wazee wao na kuwajengea mpaka sehemu nzuri za kwenda uani ili wasipate shida na kuwatunza kwa kila kitu ni WAISLAM TUU???
Hata huyo Alha wako sijui nani sidhani kama anakuelewa.
Huwa namwangaliaga my son bado ni mchanga wife anavyohangaika nae then nikipitia huu najisemea kesho na keshokutwa anakuja kukuanzishia uzi huku wa kipumbavuJamani nikwamba ilikuaje hadi kuwaza ujinga huu?kua mmuwekee sumu mzazi kisa anawasumbua?Mungu aturehemu maana unaweza zaa ukijua umepata wakukutunza siku nguvu zimekuishia kumbe anawaza kukupa sumu hivi mnajua ilivyokazi kulea mimba hadi kitoto kilivyokidogo kijitambue?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Hawakataagi hela ila wanaangalia na umri,wakiona unachezea umri wa huyo mzee hawakubali,si unajua wapo kibiashara zaidDaaa poleni kama walikataaaa... ila wale bima hawaktaagi hela
Ila nyie ndio mtakaolipwa mbinguni?,aisee hii dini ngumu sanaHata wasio waislamu wapo wanaokuwanao bega kwa bega na kuwatunza wazee wao mpaka wanafariki, so, watalipwa hapa hapa duniani, akhera hawana kitu.
Ila nyie ndio mtakaolipwa mbinguni?,aisee hii dini ngumu sana
Hebu nieleweshe hapa,ss ambao sio waislamu malipo yetu ni hapa hapa duniani ila malipo yenu juu mbingun kwa Allah?Sio ngumu, ni nyepesi sana. Usome vizuri upate kujua.
Kweli mzazi mmoja anaweza Lea watoto kumi lakini watoto kumi hawawezi.kumlea mzazi mmoja, NI kweli unakuja lalamika hili huku JFKuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.