Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

00001

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
173
Reaction score
948
Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga

Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki

Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi, vizinga vya kodi, gas, umeme, chakula n.k

Kitandani penyewe ni livivu, kwa hizi gharama naona kabisa huyu kenge sio level zangu.
 
images.jpeg
 
we mwenyewe umeshasema ni slay queen, hukufanya utafit kabla ya kumtokea slay queen ili ujue slay queen's life style? mtakuja kufa bure nyie, halafu mtu anayekuambia umsaidie kuvunja biskuit unategemea kitandani awe na mashamsham kweli?

ephen_ kaka yako ameyatimba kwa slay queen huku.
 
we mwenyewe umeshasema ni slay queen, hukufanya utafit kabla ya kumtokea slay queen ili ujue slay queen's life style? mtakuja kufa bure nyie, halafu mtu anayekuambia umsaidie kuvunja biskuit unategemea kitandani awe na mashamsham kweli?

ephen_ kaka yako ameyatimba kwa slay queen huku.
Mpe pole sana! Mimi nipo uzi wa vocha za bure
 
Huyo achana nae mkuu sio saizi yako , ni mdangaji na kama sio mdangaji anakuona ni mwanaume ambae haoni future yoyote na wewe.
Nakumbuka kuna kipindi mtaani kwetu kulikuwa na pisi moja kali ambayo washikaji walikuwa wakiiogopa kwa vizinga , mimi bila kujiuliza mara mbilimbili nikaaibukia ikaleta ugumu mwanzoni , ila siku moja tu ikanipigia simu na kuniambia JR niko bored uje unitoe huku nilipo ..Hatua ya kwanza duka la madawa na kuchukua pen protector na kuileta magetoni .. hii pisi na nyodo zake zote haikuwahi kuniomba hela kabisa na inasuka na kuvaa pamba kali na iinakuja mara zote geto ikiwa imeshiba kabisa[emoji28] , Kikubwa nilichogharamikia ni Fresh Juice na Ukwaju wa Bakhresa .
Dokta L popote ulipo jua una kiwanja chako Peponi.
Ninachotaka kusema ni kwamba mwanamke hawezi kumuomba mwanaume anaemvutia hela nyingi nje ya kipato chake..Ukiona anakuomba sana basi anakuona sio wa hadhi yake na anajaribu kucompasate gepu na vizinga.
 
Back
Top Bottom