Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

Huyo achana nae mkuu sio saizi yako , ni mdangaji na kama sio mdangaji anakuona ni mwanaume ambae haoni future yoyote na wewe.
Nakumbuka kuna kipindi mtaani kwetu kulikuwa na pisi moja kali ambayo washikaji walikuwa wakiiogopa kwa vizinga , mimi bila kujiuliza mara mbilimbili nikaaibukia ikaleta ugumu mwanzoni , ila siku moja tu ikanipigia simu na kuniambia JR niko bored uje unitoe huku nilipo ..Hatua ya kwanza duka la madawa na kuchukua pen protector na kuileta magetoni .. hii pisi na nyodo zake zote haikuwahi kuniomba hela kabisa na inasuka na kuvaa pamba kali na iinakuja mara zote geto ikiwa imeshiba kabisa[emoji28] , Kikubwa nilichogharamikia ni Fresh Juice na Ukwaju wa Bakhresa .
Dokta L popote ulipo jua una kiwanja chako Peponi.
Ninachotaka kusema ni kwamba mwanamke hawezi kumuomba mwanaume anaemvutia hela nyingi nje ya kipato chake..Ukiona anakuomba sana basi anakuona sio wa hadhi yake na anajaribu kucompasate gepu na vizinga.
Uzi ufungwe
 
we mwenyewe umeshasema ni slay queen, hukufanya utafit kabla ya kumtokea slay queen ili ujue slay queen's life style? mtakuja kufa bure nyie, halafu mtu anayekuambia umsaidie kuvunja biskuit unategemea kitandani awe na mashamsham kweli?

ephen_ kaka yako ameyatimba kwa slay queen huku.
Kwani hicho kichwa kinachohitaji Pesa nyingi ndio kipendeze hicho kichwa kweli au Komwe? Uzuri mwingine wa kulazimisha
 
Huoni avyosuka hizo nywele za 120k anavyozidi kupendeza na kuvutia
Kumbuka Mkuu, Mapenzi ni Uwekezaji

Hapo hakikisha na wewe Kitandani unarudisha gharama zako

Kama Vijana wasemavyo shoo shoo 😜
Na kwenye uwekezaji lazima share holders tuwepo
 
Back
Top Bottom