Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Ni dhambi kuongea vibaya taasisi ambayo haujawahi kutumikia hizo propaganda unaongelea hazina ukweli wowote kuhusiana na taasisi yetu kubwa ulimwenguni. Acha kupotosha ummaNa asichojua, illuminati society ndio msababishi wa majanga yote duniani๐๐. ๐๐๐ Give them the circus and drinks wataacha kuconcentrate na la msingi halafu y
eye atafanya yake, usione michezo na olympics imekuwa mikubwa hivi. Kandamiza the stronger gender halafu iache weak itawale usione feminism imekuwa hivi masera ya ajabu yanapita hadi ya kubaka watoto sasa maana wanataka kuongeza p kwenye lgbt kwamaana pedophilic. Cheza na illuminati wewe๐๐