Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

Ni dhambi kuongea vibaya taasisi ambayo haujawahi kutumikia hizo propaganda unaongelea hazina ukweli wowote kuhusiana na taasisi yetu kubwa ulimwenguni. Acha kupotosha umma
 
Muwaambie vijana na sodomization na sacrifices watakazozitoaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, mfn mizuri ni Jay z so called beautiful husband na Beyonce pamoja na Kanye West aliyesacrifize mama mzazi
Acha kuongea upuuzi kijana na maneno ya mtandaoni acha kupotosha umma.

We are good society and to keep a man safely in his life journey.
illuminati....
 
Ni dhambi kuongea vibaya taasisi ambayo haujawahi kutumikia hizo propaganda unaongelea hazina ukweli wowote kuhusiana na taasisi yetu kubwa ulimwenguni. Acha kupotosha umma
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kamdanganye mtu mwingine labda uniambie ulianzisha society nyingine. Hadi members wanajulikana unafikiri wote tupo tupo tu.
 
Acha kuongea upuuzi kijana na maneno ya mtandaoni acha kupotosha umma.

We are good society and to keep a man safely in his life journey.
illuminati....
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† match the good with your actions. Labda wewe ulieongopewa. You live in the shadows kama batmanπŸ˜†πŸ˜†. Mpe elimu ya degrees za taasisi yenu hadi mtu afike 33rd degree tier na nani aliefika. Naishia hapa mengine nikae kimya, sina mwanasheria ila kamwe usipotoshe watu. Sijibu maswali mengine.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kamdanganye mtu mwingine labda uniambie ulianzisha society nyingine. Hadi members wanajulikana unafikiri wote tupo tupo tu.
Sawa siwezi kupoteza nguvu zangu kubishana na mtu ambaye hajui kitu zaidi ya taarifa za mtandaoni. Sawa mkuu mawazo yako naheshimu.
 
Bro achana na Huyo kaushadamu (Slay Queen)

Hakikisha unakuwa na mahusiano na watu hawa:
1.Mamantilie
2.Dada muuza duka la dawa
3.Dada muuza duka la mangi
4.Dada wakala wa mpesa
5.Beki tatu wa boss mtaani kwako

Utakuja kunishukuru hapa hapa
 
Mpendezeshe sisi tule kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…