Gharama za matibabu ya wafanyakazi wa ndani wauguapo ni jukumu la nani?

Ndio maana wanaamua kwenda uarabuni tu.
 
Dah polee. Ikawaje? Ulimrudisha kwao? Au ndugu zake uliwapata wamchukue?
 
Aisee!

Bora wanaojiongeza wanaenda huko uarabuni, watatumwa tumwa sana lakini wanaondoka na vilaki kadhaa kwa mwezi.

Akikaa mwaka au miaka anarudi na mtaji, kuliko huu utumwa wanaofanyiwa na wanawake wenzao wa bongo.

Hapa huwezi kuwaskia ma feminist uchwara wa bongo, wakiongelea haki za wadada wa kazi.
 
Polee sanaa …. Lakini hiii inaonyesha jinsi gani hatuko karibu kuwafuatilia hawa wanaotusaidia kazi maana kwa miezi miwili ni mingi kujua kama binti ni mja mzito.
 
Polee sanaa …. Lakini hiii inaonyesha jinsi gani hatuko karibu kuwafuatilia hawa wanaotusaidia kazi maana kwa miezi miwili ni mingi kujua kama binti ni mja mzito.
Sasa unamfatiliaje kwa mfano? Ulitaka nimuulize kama anaingia kwenye siku zake kila mwezi? Nimkague tumbo?
 
Sasa unamfatiliaje kwa mfano? Ulitaka nimuulize kama anaingia kwenye siku zake kila mwezi? Nimkague tumbo?
Utazunguka lakini naamini angekua ni bintiako ungejua tangu mimba iko na mwezi mmoja…
 
Uzuri wadada wengi wa kazi hawaumwagi hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…